Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443
Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye.
Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe.
Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo.
Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
Mzungumzaji anaeleza kuwa viongozi waliopo madarakani wanataka kuandika historia inayowatukuza wao pekee badala ya mashujaa wa kweli:
"Afrika inaogopa historia yake yenyewe Hili limekuwa tatizo kubwa sana."
"...viongozi wa leo hawa waliokuja kuchukua madaraka baada ya uhuru wao wanataka...
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la South China Morning Post la Singapore inasema, kutokana na bei ya magari ya umeme, betri, na vipuri vilivyotengenezwa nchini China kuendelea kushuka, nchi nyingi za Afrika zinatumai kutumia fursa hii kupunguza gharama za mchakato wao wa nishati ya...
Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma.
Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama.
Afrika sio mahala salama pa kuishi.
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao.
Katika chapisho hilo, mdai anasema...
Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala.
Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake wanaishi kama wanyama, hata wanyama wana imani na huruma kwa kiasi fulani, karibu ...
Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii.
Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
Katika utu uzima wangu sikuwahi kuona mwanaume akifikiri kuwa makalio yake ni tija
Lakini kwa huyu kijana imekuwa tofauti sana
Sijui anafanya haya kwa lengo gani kwasababu kama ni mazoezi hatujazoea haya anayofanya
Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza roboti walimu aina ya IRIS, ikiwa na lengo la muda mrefu la kupeleka teknolojia hiyo katika shule 23,000 nchini humo.
Mbunifu wa IRIS, Thando Gumede, amesema lengo ni hatimaye kuhakikisha kila shule nchini Afrika Kusini inakuwa na roboti...
Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya
Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita.
Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
14 August 2026
University of Dar es Salaam
UDSM
Tanzania
Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities
https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc
wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.