afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Marekani aweka wazi kwamba, alikwenda Afrika kuilenga China!

    Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa kufuata amri ya waziri wa ulinzi wa Marekani, mkutano huo uliandaliwa na Marekani na lengo kuu ni...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Messi, Miami washindwa kutamba mbele ya wababe wa Afrika, Al Ahly kwenye Club World Cup

    Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel Messi na wenzake wa Inter Miami katika dimba la Hard Rock, Miami. Wakati mashabiki wa Inter Miami...
  4. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ewe Afrika, ni kipi wenye akili, weledi wasio na konakona walikukosea?

    Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa watu wenye akili, vipaji, na uzalendo. Lakini cha kushangaza ni kuwa mara nyingi watu hawa hawathaminiwi, badala yake wanabaguliwa, kudhulumiwa, au hata kupotezwa. Je, kosa lao ni kupenda haki, kusema ukweli, au kutotaka kujipendekeza? Tunawaona waandishi...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tuunde timu ya Trustika | kuunda app itakayobadilisha biashara za mtandaoni Afrika

    Habari, Naitwa Jordan , naongoza mradi wa Trustika, platform mpya kabisa inayolenga kuleta mabadiliko makubwa katika biashara za mtandaoni barani Afrika, hasa Tanzania. Tatizo tuliloligundua: Biashara za mtandaoni zimekua kwa kasi, lakini bado kuna changamoto kubwa ya uaminifu kati ya mnunuzi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Japani ndio nchi pekee wazee wanapenda kuwa nzengo kuliko afrika wawe kama watawala

    Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo. Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee wao sana kwenye maisha yao. Mungu ni saidie nipate mtoto japani
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  9. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Mjue Ibrahim Abdalla Akasha: Pablo Escobar wa Afrika Mashariki

    Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya... Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa. Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
  10. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Nilipotazama Documentary ya Kutisha Kuhusu Afrika, Nilianza Kujiuliza Maswali Mazito

    Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye IQ ya zaidi ya 160, mwerevu sana. Maongezi yao yalihusu hatima ya ustaarabu wa dunia... na Afrika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama Ningekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu chochote Tanzania kingeingia kwenye top 5 ya vyuo bora Afrika ndani ya mwaka mmoja tu

    Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana. Nini ningefanya? Ningehakikisha kuwa chuo kinajikita katika tafiti zenye tija na zenye kutoa mchango halisi kwa jamii, taifa, na dunia...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inachopitia CCM ndicho Afrika inapitia Urusi. Kudogosha..

    Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu. Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA. Twende Taratibu. Pamoja...
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Majina ya Timu za Taifa Afrika

    Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan wamelitumia pia lakini kwao wamelitumia taifauti na sis. Hebu angalia halafu utoe maoni yako. Algeria -...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Adui wa bara la Afrika

    "Adui mpya wa Afrika si njaa, si vita, wala si ukoloni wa kiuchumi, bali ni kizazi cha vijana waliopata elimu kwenye memes, na hekima kwenye comments za Instagram! Hoja kwao ni mzigo, matusi ni talanta. Wakiona mjadala wanadhani ni fainali ya kurushiana maneno. Ujuaji wao mwingi kama mkia wa...
  16. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  17. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0 -0 South Afrika, mechi ya kirafiki kimataifa

    06 June 2025 Peter Mokaba Stadium Pietersburg (Polokwane) South Africa Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini 'Bafanabafana' kwenye uwanja wa Mokaba stadium. Mchezo upo dakika 60 bado milango ni migumu kwa timu zote...
  18. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Simba inajiita ya mafanikio Afrika mbona humu haimo?

    2025: Pyramids FC 2024: Al Ahly 2023: Al Ahly 2022: Wydad Casablanca 2021: Al Ahly 2020: Al Ahly 2019: Esperance de Tunis 2018: Esperance de Tunis 2017: Wydad Casablanca 2016: Mamelodi Sundowns 2015: TP Mazembe 2014: ES Setif 2013: Al Ahly 2012: Al Ahly 2011: Esperance de Tunis...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
Back
Top Bottom