afrika

  1. JamiiForums Tanzania Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana Muda wa kutembea uione Dunia ni miaka kati ya 20 - 35 kwa hapa Afrika. Kwa Ulaya ni 50 mpaka 85

    Hamjambo! Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako. Ukimaliza anza kujiandaa na routes za NHS ya nchi. Kama muda utakuwa umekuishia na majukumu yakaanza kubisha hodi...
  3. JamiiForums Tanzania Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: 2025/26 2026/27 2027/28 📌 Iwapo timu itashinda...
  4. JamiiForums Tanzania SADC: Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuiunganisha afrika kujenga uchumi

    SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI 📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati 📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

    Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  7. JamiiForums Tanzania Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika mpaka Ulaya lakini hakuna wazo la kujenga daraja

    Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
  8. JamiiForums Tanzania Takribani 20% ya Dawa za Saratani Afrika ni bandia

    Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru. Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni sababu KUU kwa nini afrika masikini bado!

    Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi za kibatu (Kiafrica) zinafeli sehemu ndogo sana ambayo ikifanyiwa kazi tunaweza kupiga hatua

    Nchi za kiafrica (Kibantu) Zinabidi kuwa na mfumo ambao unaelezea kipi tufanye na kipi sahihi na kipi cha kuzingatia. Huwa nashangaa Sana kila kiongozi anayekuja madarakani anakuja na plan Zake. Yaani Africa countries hatupo organized. Ilibidi Rais akichaguliwa akute Mfumo unaomuongoza na...
  11. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  12. JamiiForums Tanzania WASOMALI East Afrika

    Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea, hata huko...
  13. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu

    Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu Mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe, Sir Wicknell Chivhayo, ameweka historia kama mmoja wa wafadhili wakubwa zaidi Afrika, akitoa misaada ya thamani ya zaidi ya dola milioni 60. Misaada hiyo inajumuisha fedha taslimu...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  16. JamiiForums Tanzania Nuclear bomb, wazungu wa AK walikuwa nalo!

    Wakati wa apartheid wazungu wa ak walikuwa na nuclear bomb, waafrika walivyoingia moja ya masharti walipewa ni kubomoa nuclear weapons kabla ya apartheid kuisha, nelson mandela akakubali akapewa uraisi na mwishowe kujengewa sanamu london na nobel prize juu, leo hii ak wanahangaika na umeme na...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna vita Afrika iliyoanzishwa na chama Cha upinzani

    Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala. Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenda kuhiji Maka au kwingineko nje ya Afrika kana kwamba hatuna makaburi na milima?

    Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao. Je Afrika hatuna haya mambo hadi tupoteze fedha na muda mwingi mbali na kuwatajirisha watu tena wanaotubagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…