afrika

  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya mitishamba kutibu COVID-19 kutoka Madagascar yaonesha mafanikio makubwa, Nchi kadhaa za Afrika kuanza kutumia

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya Corona, hivi karibuni rais wa Madagascar Andry Rajoelina alizindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' ugonjwa wa Covid-19. Kwa wiki mbili sasa, rais Andry Rajoelina amekuwa akifanya mazungumzo na viongozi wenzake wa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video cha wenyeviti wa kanda za Afrika

    Akiwa kama mwenyekiti wa SADC, Rais Magufuli amekosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa AU ambaye ni Rais wa Afrika Kusini mh. Cyril Ramaphosa. Rais Magufuli ndiye kiongozi pekee wa kikanda aliyekosekana kwenye kikao hicho. Kwa maana hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Kipanya: Wanasayansi wa Afrika wanatafuta dawa ya corona?

  5. JamiiForums Tanzania Vyama vizee Afrika vinakufa na vingine vimeshakufa. Je, kuendelea kuving'ang'ania ni kupingana na asili au ujinga wa ving'ang'anizi?

    Waswahili husema hakuna marefu yasiyo na ncha. Pia hakuna kitu kitadumu milele duniani. Siasa Siasa za ulaya na merikani zinatoa nafasi sawa ya haki kushundana bila mpinzani kupata kashkashi yoyote ile mfano marekani democrats na republic ni vyama kongwe sana huwezi kusikia mmoja akishika dola...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

    Supastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta ufumbuzi dhidi ya kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona. Hakuna dawa ambazo zinaweza kuzuia ugonjwa...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza masharti ya Lockdown kuanzia Mei Mosi ili kufufua uchumi wa taifa hilo

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akisema kuanzia tarehe 1 Mei, Afrika Kusini itapunguza hatua za zuio dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kuwa ngazi ya nne, na kuruhusu baadhi ya biashara kufunguliwa tena. Rais Ramaphosa amesema kuna ushahidi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika wasema Nzige wa jangwani waweza kuwa janga kubwa Afrika

    Taarifa iliyotolewa kwenye mkutano ya kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu uvamizi wa nzige wa jangwani ulioanzia mwezi Juni mwaka jana na kuendelea kuziathiri nchi za Afrika Mashariki Wameonya kuwa tatizo hilo huenda litakuwa janga la bara nzima kama...
  9. JamiiForums Tanzania Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

    Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya. Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita. Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
  10. JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Simba sasa wanapumzika barabarani Afrika Kusini

    Wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika yameweka marufuku ya kutotoka nje ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corano, bila shaka wanyamapori wamegundua kuwa watu wameondoka. Katika moja ya hifadhi kubwa ya wanyama pori barani Afrika Simba wameamua kuchukua fursa hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania China yakutana na Mabalozi wa Afrika nchini China imewahakikishia waafrika waishio nchini China usawa

    Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou, Chen amewaeleaza Mabalozi kwamba Serikali ya China haiungi mkono vitendo vya ubaguzi dhidi ya yeyote. Kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati mkilia na COVID-19 Serikali ya Afrika Kusini yapongeza ujio wa Kirusi CORONA kwani kimesaidia Kupunguza Uhalifu nchini humo

    Kama ulidhani ujio wa hili Janga Kubwa na baya Ulimwenguni la CORONA halina Faida kwa upande mwingine utakuwa umekosea sana na unajidanganya mno. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Serikali ya Afrika Kusini kupitia Waziri wa Polisi Bwana Bheki Cele amekishukuru kupita maelezo Kirusi kibaya cha...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na uchumi wa Afrika kuwa mdogo ila janga la Corona litapelekea uchumi huo kudidimia zaidi. Ajira milioni 20 kupotea

    AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic. Most African economies are projected to shrink this year due to the...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika kutetereka kiuchumi kutokana na Covid-19

    #CoronaVirus inatarajiwa kuzisukuma nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara katika mporomoko wa kiuchumi mwaka 2020 kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25 Ripoti ya Benki ya Dunia kuhusu hali ya kiuchumi barani Afrika imesema uchumi wa bara hilo utashuka kwa asilimia 2.1 na kufikia asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hili, Waafrika ni wazembe na wachanga kiakili

    Katika kipindi hiki ambacho Dunia ipo katika changamoto na janga la Corona Kuna mengi nimejifunza kutoka mataifa yaliyo endelea ambayo yanatakiwa yawe funzo na amasa kwa mataifa ya Kifrica haswa kwa vijana ambao ndio nguvu kazi katika kulijenga Taifa Serikali ya Marekani kwa sasa kwa asilimia...
  16. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

    umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
  17. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

    Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Kutafuta wenye CORONA ni sawa na kutafuta wenye mafua makali Afrika

    Waafrika kusini mwa jangwa la Sahara ni wahanga wakubwa wa umaskini (poverty), magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya hewa kama TB, flu kali kabisa. Magonjwa haya yamezoeleka sana ndani ya jamii hizi lakini hakuna watu wanaoyaundia task forces ili kujua nani ana flu na TB na nani amekufa ili...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

    Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…