Wanabodi nauliza tu hivi Corona bado ipo bongo? Jana niliona Al Jazeera Africa Kusini watoto wadogo nao wamerudi shule!
Wao nadhani hawaogopi sana kufa kwa korona sababu kwasasa wana maambukizi 35,000, sisi 0.1!
Nauliza tu, hapa kwetu ni lini tunafungua shule za msingi na chekechea aka vidudu...
Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd.
Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives...
“While Revolutionaries as individuals can be murdered, you cannot kill Ideas”, Haya yalikuwa ni maneno ya Thomas Sankara aliyoyatamka wiki moja kabla ya kuuawa.
Thomas Sankara alikuwa kiongozi na akiwa na miaka 33 tu, Lakini mwenye maono makubwa na siasa za mrengo wa kushoto, anatambulika...
Kwa uchungu sana naandika " I can't breath". Kauli hii ni kumbukumbu ya madhila ya ubaguzi na unyanyasaji wa utu wa watu weusi unaofanywa Wazungu "weupe".
George Floyd ametamka sentensi ya mwishonimwishoni kwa ufasaha licha ya kuwa chini ya mgandamizo mkubwa wa goti la polisi mweupe.Namchukulia...
Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO.
Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi...
Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile.
Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.
Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:
Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa Jamhuri ya Kidikteta ya Wadiya, maarufu kwa jina la Wadiya. Ni filamu iliyoigizwa katika nchi mbili...
Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali
Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show
Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo...
Dada aliyedhalilishwa kwa kupigwa ikisadikika kwa kufumaniwa na mme wa mtu amesema wakati wa shamlashamla aliibiwa shilingi laki tisa
Mimi sham natuma salamu Kwanza pole kwako kwa kudhalilishwa mimi Kama mwanamke niliumia sana kwa kitendo ulichofanyiwa, hata Kama alikuwa hivyo haikuwa lazima...
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
Kuhusu kulipia show
===========
Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu
====================
Kuhusu performance ya kuwa nzuri
=====================
==================
Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri
================
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema maambukizi ya virusi vya Corona nchini mwake yanaendelea kuongezeka kama ilivyobashiriwa na wanasayansi. Katikati mwa wiki iliyopita wanasayansi nchini Afrika Kusini walionya kuwa huenda watu 50,000 wakapoteza maisha na wengine zaidi ya Milioni tatu...
Leo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani.
Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita.
Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi amesema, China itaendelea kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na COVID-19, na kuchangia utekelezaji wa pendekezo la Kundi la nchi 20 la kukubali nchi maskini kuahirisha kulipa madeni. Vilevile China inafikiria kutoa msaada zaidi kwa nchi za Afrika...
Kadri siku zinavyokwenda Tanzania, Mh. Magufuli anazidi kujipambanua kama kiongozi bora miongoni mwa viongozi wa Afrika.
Sababu zipo nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja hii. Japo sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahitaji ufafanuzi wenye hazina kubwa ya mifano lukuki na kuntu. Lakini kwa leo...
Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati.
Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
Alizaliwa, akapambana na kuuliwa kikatili, tofauti na wengine, yeye hata nchi yake ilipanga kufutilia mbali historia yake na kumtambua. Marehem akumbukwe kwa mazuri bwana. Hata anapopumzika ajiskie kweli alifanya kitu. Hii ni imani yangu mimi muafrika, kama hyukubali pole sana.
Awamu mbili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.