afrika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

    Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
  2. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

    Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda...
  3. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Ukoloni mambo leo unatuchelewesha Afrika

    Na Elius Ndabila 0768239284 Tujikumbushe, niliandika September 2019 Ukoloni mambo leo ni neon lenye dhana pana na huenda likawa si geni kwenye vichwa vyetu, lakini ni vema tukawa na ufahamu wa pamoja juu ya nini maana ya ukoloni mambo leo kabla ya madhumuni ya hoja yenyewe. Pamoja na...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  5. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

    Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana. Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa. Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke...
  6. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika: Watu milioni 239 wakabiliwa na njaa na utapiamlo

    Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO Marina Helena Semedo amesema takriban watu milioni 239 wa Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tatizo la njaa na utapiamlo. Amesema njia pekee ya kutokomeza masaibu hayo ni kupitia amani na usalama wa kudumu...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  9. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajui kuwa sasa hivi Afrika na Tanzania ni dodo, siyo kama zamani!

    Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

    Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala. Chanzo Habari: Mwananchi Online Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nzige kuendelea kuzaliana zaidi, Afrika ndilo eneo litakaloathirika kwa sana Duniani

    Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema pembe ya Afrika ni eneo lililoathiriwa zaidi na uvamizi wa nzige wa jangwani kati ya maeneo matatu duniani yanayokabiliwa na janga hilo, mengine mawili yakiwa ni Uganda na Sudan Kusini. Taarifa iliyotolewa jana na FAO inasema janga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  13. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

    Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
  14. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Katika Afrika ni Watanzania tu ndo tuna kifungua kinywa (Breakfast)

    Nimebahatika kutembelea nchi mbalimbali Afrika (Kusini mwa Sahara); nilichokiona ni kwamba wengi hawana utamaduni wa kifungua kinywa asubuhi (Mzungu huita breakfast). Najua hata Tanzania yetu pia sio wote wanapata kifungua kinywa, lakini ni jambo la kawaida hasa mijini, asubuhi kupata kikombe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

    Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika. Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Afrika ndio bara pekee lenye nchi nyingi

    Kuna nchi 54 zinazotambuliwa kama mataifa huru katika bara la afrika. Nchi iliyokuja hivi karibuni ni sudani ya kusini ambayo imepata uhuru wake mwaka 2011. Sahara Magharibi ikiendelea kuwa mwanachama wa Umoja wa Afrika lakini umoja wa mataifa haujaitambua kama taifa. Bara Asia ni bara...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ng`ombe mlevi kushinda wote Afrika Mashariki huyu hapa

    Kutana na ng`ombe chapombe
  18. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

    Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa CHADEMA ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama. Mdee amesema alienda Afrika Kusini kupata matibabu baada ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Dangote aongoza kwa utajiri Afrika, Mo Dewji ashika nafasi ya 16

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni). Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama...
Back
Top Bottom