afrika

  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni naye aanza kunyoosha Waganda, amtia ndani Bobi Wine baada ya uteuzi. Afrika na EAC patamu

    Mara baada ya Bobi Wine kuteuliwa kuwania urais na kupokezwa cheti, ameibukiwa na mapolisi na kuswekwa ndani tena kwa matumizi ya nguvu nyingi na vurugu zisizo za kawaida, ukanda huu wa EAC lazima mtanyooka, ni mwendo wa kidikteta kwa kwenda mbele, kumekuchaaa. Naomba Mungu asiruhusu kashetani...
  2. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa vyama pinzani Afrika kutaleta maendeleo kwa haraka (ndani miaka 2 au 3) kama wananchi tunavyotarajia

    Mimi nadhani ifike wakati na kukubali kwamba sisi wa africa bado hatujui tunapo kwenda na tulipotoka siku zote hakuna mtu au familia ambayo itaendelea kuwa na mambo makubwa pasipo kuwa na umoja hasa kwa upande wangu nadhani:- Uwepo wa kitu kinacho itwa demokrasia na vyama vingi ilikuwa ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

    Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama vyote, jinsi zote, dini zote, rika zote na kada zote. Uchaguzi huu ni muhimu kwa watanzania na Afrika...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB ndio benki bora ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ni muendelezo wa kukumbushiana tu kwamba nani kinara kwenye kila tasnia ukanda huu. ====== The performance is an improvement from position 717 last year in the ranking which tracks the health and wealth of the global banking sector. In 2018, KCB was ranked 809. In what reaffirms the Bank’s...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

    Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa. Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa...
  6. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Mbona walinzi wa viongozi Bara la Afrika wana vitambi?

    HABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati. Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Uchumi ndiyo unaweza kuamua Demokrasia, Afrika hatujafika huko

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuchagua upinzani Afrika? Twende pamoja

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Afrika na China hauna maslahi kwa Wananchi. Una maslahi kwa watawala Madikteta

    Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee kuwanyonya wananchi na China ifaidike kwa maslahi ya nchi yake. China ya sasa siyo China ya Ujamaa. Hii...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sichukii kuzaliwa Mwafrika wala sichukii kuzaliwa Afrika; nachukia kutojikubali kuwa mimi ni Mwafrika

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro? Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari yaibwa Afrika ya Kusini na kupatikana baada ya masaa matatu ikiwa kwenye hali hii

  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity ya Kenya yatajwa ndani ya mabenki kumi bora Afrika

    Huku wenye wivu wakiendelea kuuguza maumivu baada ya taarifa za KCB kupata faida zaidi ya ukijumuisha mabenki yao yote, haya hii nyingine ya kuendelea kutonesha.....ni zamu ya Equity bank sasa. ===== Equity, with a balance sheet size worth Kshs. 673.7 billion at the end of 2019, has been...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 Marekani yatishia vikwazo kwa watakaoshiriki kuharibu uchaguzi Afrika

    Upcoming Elections in Africa The United States is committed to supporting free, fair, inclusive elections. The conduct of elections is important not only for Africans, but also for defenders of democracy around the world. We believe all sides should participate peacefully in the democratic...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaalam wa kisasa unaotumika kutengeneza barabara itakayokuwa bora kuliko zote Afrika Mashariki na Kati

    Huu utaalam na mfumo unawezesha kuharakisha ujenzi wa barabara na kupunguza muda uliokisiwa hadi asilimia 50% Construction of the elevated section of Nairobi Expressway along NextGen Mall, Nairobi The engineers involved in construction of the Nairobi Expressway are racing against time to...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani huzingatiwa katika kuchagua Wabunge wa Afrika Mashariki?

    Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa? Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA? Mishahara na marupu rupu yao yapoje?
  18. P

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mfano unaokatisha tamaa ya Afrika kunyanyuka

    Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
Back
Top Bottom