africa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ccm na mamayao kuzomewa kila kona hadi na Dr. Ndlozi wa Africa Kusaini kijana mdogo wa Julius Malema inatoa picha gani.

    Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania to Begin Voluntary Repatriation of Citizens from South Africa on August 26

    Tanzania will begin the voluntary repatriation of citizens living in South Africa’s KwaZulu-Natal province on August 26, with the first group returning aboard an Air Tanzania Company Limited (ATCL) flight from King Shaka International Airport in Durban. The Tanzanian High Commission in Pretoria...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Interview with Prof. Mohamed Yakub Janabi- WHO Regional Dorector for Africa 20.08.2026

    20 August 2026 Asmara, Eritrea ERi-TV, Eritrea - Open Mic - Interview with Prof Mohamed Yakub Janabi - WHO Regional Director for Africa ERi-TV August 6, 2026 https://m.youtube.com/watch?v=V2ajcy3agVc Source : Eri-TV, Eritrea (Official)
  5. JamiiForums Tanzania JENGO LINAUZWA,LIPO AFRICA SANA,BEI TSH BILLION5,MAONGEZI YAPO 🇹🇿+255758844717

    YARD INAUZWA Plot size SQM 3800 Ipo Mwenge Full Documents Bei ni Tsh 5b/- mazungumzo yapo 🇹🇿Call/whatsap+255758844717 #tanzaniantiktok🇹🇿 #realestate #creatorsearchinsights #beachplotsforsale #yard
  6. Hello Uganda

    Come let's enjoy this jack fruit. Here in Uganda 🇺🇬 The pearl of Africa
  7. JamiiForums Tanzania Zimbabwe hands over SADC chairmanship to South Africa

    Zimbabwe has formally handed over the chairpersonship of the Southern African Development Community (SADC) to South Africa, marking the conclusion of President Emmerson Mnangagwa’s tenure at the helm of the regional bloc. The handover took place on Monday at the 46th Ordinary SADC Summit in...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakaribishe wenzetu waliorudishwa kutoka South Africa

    Na hii ndio ile inaiitwa bila kupepesa macho https://www.facebook.com/reel/4466513103637269
  9. H

    JamiiForums Tanzania Africa na chaguzi bandia. Nani anayetupangia Mamruki kuongoza nchi Zetu?.... Kama CCM wametumwa Zambia Brian Mandubile hawezi kutangazwa mshindi kamwe

    Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya. Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Olulimi Oluganda - Ssabasajja Kabaka awangaale

    📖 ENGERO Z'OLULIMI OLUGANDA Amannya | Matovu Godfrey Omuziro | Ngabi Nsamba A'kabbiro | Jerengesa Omubala | kalikutanda N'ekakusuula mu b'engabi abasambaganyi Muzukulu w'ansamba 📖 🦁 Aggunde ggunde ayi SSABASAJJA KABAKA - Magulu nyondo 🐿️ ◾ Akalya a...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Uganda and Naminia minthe most undemocratic countries in Africa if not the World!

    Sasa unawaleta hao ili wafanye nini credible! Time will tell!
  13. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  14. JamiiForums Tanzania Africa nguvu ndio kubwa akili kiduchuu

    Imagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..
  15. JamiiForums Tanzania Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  16. JamiiForums Tanzania Zimbabweans Must Now Apply for U.S. Visas in South Africa

    Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa centres. The new arrangement came into effect on August 1, 2026, ending routine visa services at the...
  17. JamiiForums Tanzania Ukifika China uwezi kuona haya mapikipiki yao wanayouza Africa wanatumia kwao zaidi pikipiki za umeme

    Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia. Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa au uchafu.
  18. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

    Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
  19. JamiiForums Tanzania Usd 1 sawa lita 40 petrol.Tujadiliane kama East Africa

    Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali. Leo Libya iliyochukua miaka 15 vita inaanza kuwa Dubai mpya ya watu wenye kujiwekea maisha mazuri na nguvu kubwa 2026.
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

    Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia. Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24. Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?. Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…