africa

  1. B

    JamiiForums Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku. Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
  2. R

    JamiiForums President Ruto's speech at UN: Africa is frequently the subject of decisions, yet permanently excluded

    President William Samoei Ruto, Commander-in-Chief of the Defence Forces of the Republic of Kenya, delivered a scathing critique of global governance structures at the 81st Session of the United Nations General Assembly in New York. Addressing world leaders during the General Debate, Ruto argued...
  3. Red black

    JamiiForums Kama kungekuwa na pesa za uchawi/majini basi bro Mshana Jr angekuwa tajiri namba 1 Africa

    The old Witcher 🤔 Mshana Jr
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Idris Sultan Kutangaza Tuzo Kubwa za 'The Future Awards Africa' Nigeria

    Mtangazaji, muigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Tanzania, Idris Sultan, amepata mwaliko mkubwa wa kuwa mmoja wa washereheshaji wa msimu wa 20 wa tuzo mashuhuri za The Future Awards Africa (TFAA) zitakazofanyika mwezi Novemba jijini Lagos, Nigeria. Idris Sultan atajumuika kwenye jukwaa...
  5. R

    JamiiForums Compare and contrast kati ya madikiteita wa Africa

    Wote ni madikiteita,
  6. Yoda

    JamiiForums Kuna wanawake wengi Africa makalio makubwa yamewapa unafuu wa maisha

    Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada. Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye makalio makubwa, maumbile yao yamekuwa ndio mtaji wa uliowafanya kupata maisha mazuri. Yani bila hayo...
  7. Yoda

    JamiiForums Serikali za Africa zinashindwa nini kutengeneza ajira ?

    Inakuaje serikali inashindwa kutengeneza ajira wakati nchi bado Iko nyuma sana kimaendeleo na yapo maeneo mengi sana ya kufanyia kazi ? Mfano ikawakusanya tu vijana wasio na ajira ikwapa kazi ya kutengeneza barabara za nchi nzima na kutandaza mabomba ya maji kila nyumba iwalipe elfu kumi kwa...
  8. R

    JamiiForums The treason as political offence in East Africa country: Law and practice in Tanzania and Uganda

    Mwenye interest asome hili andiko. ..........Congress implemented Clause 1, and the resulting elements of the offense are asfollows: 1. A person who owes an allegiance to the United States 2. Levies war or Adheres to an enemy of the United States and 3. Commits an overt act and 4. Possesses...
  9. Wauzaji wa Container Tz

    JamiiForums Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.

    Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.
  10. ngara23

    JamiiForums Unyanyapaa Kwa Watanganyika waliorudishwa kutoka South Africa ni tendo la kipumbavu

    Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni...
  11. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    JamiiForums 5 days African Safari Holiday tour packages

    Discover the unforgettable beauty of Tanzania on a 5-day African holiday safari with Widerange African Safaris. Explore some of Northern Tanzania’s most iconic wildlife destinations, including Tarangire National Park, Serengeti National Park, and the Ngorongoro Conservation Area. This 5 Days...
  12. Gospel KTV

    JamiiForums Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  14. Wauzaji wa Container Tz

    JamiiForums Hawa ndugu zetu waliotoka South Africa, ni aina Gani za ajira walizokuwa wanasema wamezichukua mpaka kufukuzwa?

    Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua? Je ni ajira zipi. Najaribu kuangalia hili swala
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
  16. A

    JamiiForums HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

    Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
  17. R

    JamiiForums Angalia Rais makatili waliowahi kutokea Africa

    Kwenye jumba la kifalme la udongo na chuma lililozungukwa na miili ya simba na mamba waliokaushwa, aliishi mwanamume mmoja aliyetawaliwa na woga na wivu mkubwa wa madaraka. Alikuwa amevaa vazi la dhahabu lililonakshiwa na taji ya almasi yenye thamani ya mamilioni ya dola. Jina lake aliitwa...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Connecting East Africa: Rail, Power, Ports & More

    Connecting East Africa: The Infrastructure That Binds the Region • Standard Gauge Railway (SGR) — Tanzania’s SGR is being developed toward the western corridor, connecting Dar es Salaam with the interior and ultimately linking into the wider East African rail network toward Burundi, Rwanda and...
  19. Yoda

    JamiiForums Africa tungepewa uhuru kwa makabila badala ya mataifa bandia tungekuaje leo hii ?

    Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi. Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kwa kejeli na dhihaka zinazoendelea mtandaoni kuhusu waliorudishwa kutoka South Africa. Wabeba Boksi hiyo ni alert

    Habari za Sabato! Leo huko Tiktok, instagram, na Facebook habari kuu ni mabaharia waliorudishwa kutoka South Afrika. Aiseeh! Uwanja wa comments watu wanamwaga upupu sio poa. Kejeli Dhihaka Matusi. Basi ilimradi. Ni kweli ni uhuru wa maoni lakini tuangalie jamani. Hawa ndugu zetu ni kama...
Back
Top Bottom