africa

  1. Mhaya

    JamiiForums Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu. Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%. Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
  2. D

    JamiiForums Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  4. uhurumoja

    JamiiForums Je kwa yanayotokea Ufaransa na Italy Kuna haja kuwalaumu South Africa kufukuza na kupinga wahamiaji!?

    Dunia inashuhudia namna mapokezi ya kibidamu yanavyoweza kugeuka na kuwa siraha Kali yenye kuharibu Wahamiaji waliopokelewa kwa ishara ya wema na ubinadam Leo inawagharimu wazungu wa Ufaransa na Italy Je afrika kusini walichukua hatua stahiki kuwafurumusha wahamiaji kutoka nchini mwao hususani...
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania inashika nafasi ya 12 kwa uchumi barani Africa

    Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika. Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026. Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC...
  6. instinct desire

    JamiiForums Kama jukumu la Jumuia ya Africa mashariki ni kulinda ustawi wa nchi wanachama hakuna haja ya kufichiana waharifu Kenya rudisheni Tanzania hao waharifu

    Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA? ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
  7. Mad Max

    JamiiForums African Grand Prix nitaenda. Tuombeane uzima tu!

    Sipati Picha 1.6-liter turbocharged V6 zitakavyokua zinaunguruma Kigali. Kagame smart sana. Tokea 2024 alivohost FIA Awards, nikajua tu.
  8. Red black

    JamiiForums Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

    Kama una 10M Yas kibubu, M.wekeza Utt amis
  9. idiomer

    JamiiForums Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  10. R

    JamiiForums The treason as political offence in East Africa country: law and practice in Tanzania and Uganda

    anayeweza kusoma kizungu asome asiyeweza sorry. see attached pdf file WHY TREASON IS NOW ARBITRARY REGARDED AS A POLITICAL OFFENCE IN EAST AFRICAN COUNTRIES? LAW AND PRACTICE IN TANZANIA AND UGANDA. Treason punishment is death penalty to offender after having convicted in court of law...
  11. T

    JamiiForums Mbinu za kumrudisha mzungu Tanzania na nchi za Africa ni kutatuta wawekezaji

    Haiwezekani mtu aje kuwekeza Matrilioni ya shilingi asiwe interested na Siasa!
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Africa ni wrong entry kwa wa africa wenyewe.

    Unazaliwa africa ila africa inavokutendea na kukufanyia au kuona ulipo ni kama sio sehemu sahihi. Msemo wa wazungu kusema watu weusi ni nyani ulikuwa sahihi kabisa.
  14. Z

    JamiiForums, JamiiForums Kenya God, Geopolitics, and the Long Game: Why Russia is Building Churches Across Africa

    In December 2021, the Russian Orthodox Church (ROC) made a quiet but consequential move. Following the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria's recognition of the Orthodox Church of Ukraine — a decision Moscow viewed as a direct provocation — Russia's Holy Synod broke communion with...
  15. Manyanza

    JamiiForums Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
  16. Yoda

    JamiiForums Chivayo Epstein wa Africa ameondoka na mengi ya gizani.

    Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani. Haiwezekani ikawa hakuwa na insurance policy ikitokea ameuwawa mambo yaachiliwe yaende hadharani.
  17. Eronda

    JamiiForums, JamiiForums Uganda Senior Advisor: Museveni is 'God of Uganda and Africa

    "President Museveni is the God of Uganda and Africa". Senior Presidential Advisor Peace Rugambwa
  18. A

    JamiiForums Akina Vozinha wamedhalilishwa kwao na Rwanda, wamepigwa 2-1. Mpira wa Africa umebadilika sana

    Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama: Spain 0-0 Cape Verde Cape Verde 2-2 Uruguay Saudi Arabia 0-0 Cape Verde Argentina 2-2 Cape Verde Timu hiyo...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums “Give Africa a permanent seat at the table.”

    Robert Mugabe made that demand 10 years ago. Last week world leaders gathered in New York for the 81st UN General Assembly, the same fight is still unfinished. Africa has 54 UN member states , more than a quarter of the organization, yet not one permanent seat on the Security Council. The...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Rais William Ruto wa Kenya ni kiongozi wa kipekee sana barani Africa, waafrica tunafaa kummpa mau yake, anafanya kazi nzuri na kubwa kwajili ya Africa

    Hebu ukipata nguvu, msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia. well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head: Mungu Ibariki Tanzania, Mungu...
Back
Top Bottom