Zitto na Lowassa ni walagai

Zitto na Lowassa ni walagai

ni shidaa sana. Zitto ana credibility drop down. atafute shamba alime aiseeeeeeeeeeeee
 
Hivi mpaka leo kuna watu wanamwamini Zuberi? Kwenye ulingo wa siasa ndiyo Shigongo huyo.
 
Acha kumuhusisha Lowassa na ujinga wenu.
Hamuwezi kupitisha siku bila kumtaja Lowassa vibaya?

Kwani hapo wamemtaja vibaya au wamemtumia tu kama 'reference' jinsi alivyowadanganya 'wadanganyika'?
 
ni babaako nini mkuu...... Kwan ni uwongo? Yeye mwenyew kwa kinywa chake aliropoka kuwa atazungumzia richard lowasa kule arusha lakn akaishia kuzungumzia mbung'o wanaotesa mifugo yake

Richard Lowassa wa monduli:bump2:
 
Nia ilikua ni kuondoa attetion ya watu kwenye mkutano wa wazee wa dsm.
 
Lowassa alisema nitaenda kusema yote kuhusu Richmond nitakapokua natangaza nia Arusha watu wakajaa mwisho wa siku hakusema lolote.

Leo tena Zitto akasema atataja majina ya walioficha mapesa Uswis watu wakajaa mwisho wa siku hajasema lolote zaidi bla bla za kila siku.

Lowassa na Zitto mjiangalie sana, sisi siyo binamu zenu wa kuwatania hivyo.
Nchi hii bado sana kuendelea na ndo mana nasisitiza itachukua mda mrefu sana kuendelea, na huu ndo uthibitisho, wachache wameyaona haya na wamejaribu kuyasema ila wameishia kutukanwa na kuitwa majina ya ajabu. Nasikitika jamii ya watanzania kuendelea kuwaamini wanasiasa hawa uchwara na sio hawa tu na watu wa kada mbalimbali ambao nao wana tabia hizohizo za ulaghai na unafiki akiwemo media tycoon
Ndugu zanguni nazidi kuwasisitizia bila kuwa critical thinkers na bila kufuatilia mambo ya duniani kwengine huko hata siku moja hauwezi kuwaelewa hawa walaghai.
Kuna watu walisema humu kuwa huyu mtu alitishia ili apate kuongwa na wahusika ili atunishe mfuko wake. kuna watu hadi walisema akiwataja atafanya kitu cha aibu mitanzania jinsi mlivo na ushabiki n KUPENDA siasa za ovyo ovyo mkawadharau. Sasa imedhihirika. Sasa kama hali ndo hii kwa nini akili yangu isiniongoze kumshabikia mtu kama Prof Muhongo ambaye hana hizi tabia za kishenzi za wanasiasa wengi wa kitanzania.
 
Lowassa alisema nitaenda kusema yote kuhusu Richmond nitakapokua natangaza nia Arusha watu wakajaa mwisho wa siku hakusema lolote.

Leo tena Zitto akasema atataja majina ya walioficha mapesa Uswis watu wakajaa mwisho wa siku hajasema lolote zaidi bla bla za kila siku.

Lowassa na Zitto mjiangalie sana, sisi siyo binamu zenu wa kuwatania hivyo.

Mkuu Zitto alitoa ahadi hiyo kama dili ili aweze kupata fedha za kuendeshea huo mkutano wa leo kwani baada ya kutamka hivyo wahusika walimfuata na kumpatia fedha kama alivyozoea na kuendeleza drama zake
 
Back
Top Bottom