Lowassa alisema nitaenda kusema yote kuhusu Richmond nitakapokua natangaza nia Arusha watu wakajaa mwisho wa siku hakusema lolote.
Leo tena Zitto akasema atataja majina ya walioficha mapesa Uswis watu wakajaa mwisho wa siku hajasema lolote zaidi bla bla za kila siku.
Lowassa na Zitto mjiangalie sana, sisi siyo binamu zenu wa kuwatania hivyo.