Wimbi la jogging temeke: Nani anafadhili?

Wimbi la jogging temeke: Nani anafadhili?

Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?

Zilikuwepo toka siku nyingi lakn siku hz too much na hapa bongo ukiona vile si bure subiri kuona reality soon maana na uzuri wake ukweli hawana uwezo wa kuuzuia just give time time
 
Jogging cjuisana ila daktar mmoja aliniambia unaweza fikir unafanya mazoezi kumbe unajichosha tu hapo inabid utalaam ili ucpate hasara,na kupandamti ni vizuri ila ukipanda mti wa matunda utavuna matunda yake,ifanye jogging iingize mjapato kimataifazaid,
 
Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?

mdau hata Ilala na Kinondoni pia,ila zipo jogging zinazofadhiliwa na wanasiasa hasa wabunge,
 
hats mimi nimeanza mazoezi ya viungo kuwakabiri mashetani ya ccm mwakani

wrong strategy! bomu la machozi na risasi za moto hazikabiliwi na mazoezi ya viungo...

can you run faster compared to the speed of a bullet?

 
Nina mtizamo tofauti na hao wanaofanya jogging mchana kweupe. Nakumbuka enzi zetu mazoezi tulikuwa tunafanya alfariji kuanzia saa kumi na moja asubuhi hadi saa kumi na mbili. Sasa hawa wa mchana tunaopishana nao hadi saa moja kweli ni jogging au ni kikundi fulani kinatayarishwa kwa ajili ya jambo fulani? Isitoshe kundi kubwa hivi limekuwa mobilised vipi? Ni mazoezi tu au kuna jambo lingine? Ikumbukwe siku hizi kuna vikundi vingi vya ajabu ajabu vimeanza kujitokeza kama akina panya road, mbwa mwitu, na kule kilindi na mtwara kulitokea mambo ya ajabu sana. Mimi nachelea kucomment kuhusu hawa wana jogging wanaoanza saa kumi na mbili hadi saa moja mpaka saa mbili.
Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?
 
Tusiishie kwenye jogging tu......tuweke mikakati ya kuanzisha club za riadha zenye ushindani......juzi nilitembelea kanchi kadogo kweli kweli...Bahamas.......kwenye mashindano ya mbio fupi fupi (IAAF World Relays).......nikakutana na Wakenya (nilishuhudia wakivunja rekodi mbili uwanjani), Waganda, na Waethiopia.......nikaishia kujivunia u-East Africa na kujichanganya na Wakenya.......trust me...everybody there was impressed by Kenyans new World records...na watu wengi wanataka kwenda Kenya......infact Kenya inajitangaza sana kiutalii kupitia wakimbiaji wake........

....nilijiuliza maswali mengi sana.......sisi Watanzania tuna mikakati gani........jamaa yangu mmoja juzi akawa ananiulizia kuhusu Filbert Bayi....na kwamba aliona CNN & BBC wakimzungumzia....na kwamba kwanini hatumuenzi.....kwa kweli sikuwa na jibu.......

Kaka nchi imepoteza focus, haina dira wala mwelekeo, Kama mambo ya kawaida kabisa kama nchi tunashindwa kuyapatia ufumbuzi (wagonjwa kulala chini) itakuwa michezo kweli?

kaka Hakuna kiongozi hata mmoja anayefikiria habari za Michezo kwa njia moja ama nyingine, ukiona wanaingia kwenye michezo basi wako kwenye kampeni ya kutafuta Kura
 
Tusiishie kwenye jogging tu......tuweke mikakati ya kuanzisha club za riadha zenye ushindani......juzi nilitembelea kanchi kadogo kweli kweli...Bahamas.......kwenye mashindano ya mbio fupi fupi (IAAF World Relays).......nikakutana na Wakenya (nilishuhudia wakivunja rekodi mbili uwanjani), Waganda, na Waethiopia.......nikaishia kujivunia u-East Africa na kujichanganya na Wakenya.......trust me...everybody there was impressed by Kenyans new World records...na watu wengi wanataka kwenda Kenya......infact Kenya inajitangaza sana kiutalii kupitia wakimbiaji wake........

....nilijiuliza maswali mengi sana.......sisi Watanzania tuna mikakati gani........jamaa yangu mmoja juzi akawa ananiulizia kuhusu Filbert Bayi....na kwamba aliona CNN & BBC wakimzungumzia....na kwamba kwanini hatumuenzi.....kwa kweli sikuwa na jibu.......

Mkuu,hapa hapa bongo kuna madogo wanapiga sekunde 10.8,hadi 11.5 mita 100.binafsi nawajua,nimeshuhudia wakizipiga hizo vyuoni na pale national stadium.naomba serikali itume mashushu kwenye mashindano ya chini ngazi za mikoa(trials),hasa hapa Dar,wakaone jinsi watoto wanavyokimbia,na jinsi wale wazuri wanavyoachwa timu za taifa na kuchukuliwa watu wasio competent just kwa kujuana.mmepeleka timu, ya masprinter China,hamna kitu mle,hakukuwa na mchakato wowote wa kiufundi kupata wale wachezaji,wengine wanaandikwa kuwa wanakimbia sekunde 10 wakati hawajawahi hata kukimbia hiyo 11,tunaweka uhuni kwenye kila jambo,hata haya technical,watu bado wanapachikana bila competence yoyote,tusitegemee medali,si kwa sababu hatuna wachezaji wazuri,bali kwa kuwa wanaachwa na kuchukuliwa watu wasio competent ila tu ni watu wao,na hapo mjiulize,kwa nini viongozi wa riadha wanajenga mtandao wa kujuana hadi kwa wachezaji hasa kwenye safari za nje?chunguzeni mtagundua biashara zinazoendelea.msitegemee medali hadi uchafu huu umulikwe,nazungumza jambo nalijua,kuna research fulani nilikuwa nafanya,ikanipeleka huko kwenye riadha,nikakutana na wadau experienced huko,wakanieleza haya,na mara mbili walinialika kwenye trials,nikashangaa sana kuona mtu anapiga 10,11 seconds hapa nchini!akipata intensive and proper training huyu si atapiga 9 zile za akina Bolt?na kitu kingine,hawa viongozi wa riadha wanajitahidi kadri wawezavyo kuutenga mchezo huu na vyombo vya habari,mashindano yanaweza kuendelea huku kukiwa hakuna media yoyote kucover.ila kukiwa na events kubwa,utawasikia wa kwanza kulalamika,utawasikia kila mara wakisema tusitegemee medali,maandalizi mabovu,hamna hela,kumbe wao wanajua wanachofanya,kwamba hawachagui wachezaji wazuri,hao watu wao wanaowapendelea si wazuri,ila tu ni watiifu katika biashara zao nyingine,na wachezaji wazuri wako determined,hawapendi huu ujinga ingawa wengine wanakubali na wakishaingia kwenye hizo biashara wanapoteza mwelekeo,wanaridhika na vipesa vya madafu wanavyopata, viwango vinakufa.Sasa kama mnataka medali,watz iambieni serikali yenu itumie vyombo vya dola vyake kumulika riadha,tena nawaambieni,tuna wachezaji wakali mno,riadha iko kwenye damu ya watu wa east africa wote.la kama mtaendelea kuoneana haya kwa kuogopa kutia mchanga vitumbua vya watu,basi msahau medali,na huu utamaduni utahamia hadi kwenye soka,kila mahali hadi tuue kila kitu,tujaze taifa la wezi,walevi,mateja,mapusha,wazinzi,vijana wasiopenda kufanya kazi,kwa kuwa walipoonyesha nia ya kufanya mambo mazuri,tuliwakatisha tamaa.Tanzania inapoteza wanamichezo wazuri bila kujua,kosa letu kubwa ni kukabidhi watu kazi halafu hatufuatilii kuona kama wanachofanya ndio kile tulichowatuma.haya subirini BRN!
 
Hawa jamaa ni wezi,usiombe upite karibu yao wanakwapua cm n.k mdogo wangu alikwapuliwa ipod dadek zao
 
Mkuu Ogah katika research zangu,wale jamaa wa riadha katika kunishawishi kwamba watz wanaiweza riadha,kuna siku walinichukulia wacheza soka,waliokuwa wanacheza sehemu fulani uwanjani,tukapima 100 meters kwa tape measure,wakawakimbiza with right timing,tukiwa na stopwatches tatu,wale watoto aliyekuja wa kwanza alikuja na 11.8 seconds,wa mwisho alikuja na 13.6 seconds,tena huyu alikuwa mkubwa sana kiumri,zaidi ya 30!hawa ni wacheza soka,hawana habari na riadha kabisaa,lakini walikimbia huu muda!anayeijua 100m.dash anaelewa ni mtu wa namna gani mwenye uwezo wa kukimbia muda huu,bila proper training.ataelewa mtu mwenye age above 30 kukimbia 13 seconds bila zoezi la riadha,inatoa ujumbe gani kwetu! chunguza mashindano ya kimataifa ya vijana,watu wanakimbia muda gani,na wanatayarishwaje,na kwa miaka mingapi,halafu jiulize hawa wa kwetu wakipewa training ya riadha watakuwa na viwango gani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom