Siku hizi ikifika wikiend unakutana na makundi mbalimbali ya vijana wakiwa wamevalia uniform nadhifu wanafanya jogging. Ni jambo zuri kwa afya, lkn wanakabiliwa na changamoto kubwa za kupishana na magari. Kwa upande wa mwingine wa shilingi inasemekana ni mikakati ya watu fulani kwa uchaguzi wa 2015. Je kuna ukweli?