Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,213
- 37,332
Wale wa mama Klaree inama nikurengeeee, huu uzi hauwahusu.
Kina cha uke huwa kinaongezeka mwanamke akiandaliwa vizuri na akanyegeka (aroused). Shingo ya kizazi / Cervix huwa inajivuta na kurudi nyuma ili kulinda viungo vya ndani ya uzazi, hii inasaidia uume kutogonga kwenye shingo ya kizazi hivyo mwanamke kutopata maumivu wakati wa midinyano. Kitaalamu inaitwa vaginal tenting.
Kumuandaa mwanamke si kwa ajili ya kumpa raha pekee, bali ni hitaji la kibaiolojia pia.
Haya msiseme mashangazi siku hizi hatufundishi, tunawajuza sema mnapenda kukaza mafuvu.
Ujumbe wa usiku:
Andaeni mabinti ili waache kuwasukuma sukuma kisa maumivu mkiwa mnawapelekea mioto.
Alamsiki!
- Vipi, huwa unamuandaaje mwanamke kabla hujamuingiza ukuni wako kwenye kinu chake?
- Wanawake wenzangu, ili maandalizi yakamilike ni eneo gani inabidi asilisahau kuligusa, au kulibusu, au kuliminya, au kulilamba etc.?