Watoto si wameshalala 🛌🏽 - njooni tuzogoe!

Watoto si wameshalala 🛌🏽 - njooni tuzogoe!

Ng'ombe hazeeki maini, mambo bado ya moto 🤭
Ukizeeka dawa za moyo km zoote na unajua maini kazi yake kuchuja sumu, ss yatakosa kuzeeka yakhe acha bwana.
Nione haya wapi na si ajabu mimi bado dada yako na naistahili.
Thubutu yako hata ulale njia ya panda naked hunipati. Labda unishinde kwa ligi ya mengine bibie.
 
Back
Top Bottom