Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,903
- 6,881
Labda ila kwa ninavyowaona huenda ni mtazamo wangu tu hawana cha kumbabaisha mwanaume rijali gumegume " Alpha male" hata kidogo.
Ndiyo hivyo tena ni mazishi yako.Tutachagua tuanze na lipi?Kula kwanza au kuzika first!?Hawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Huyo mtoto ni mtam we hujui mkuu, eti Evelyn Salt unageuza watu?😁Mzee angalia yasije kukuta, naskia yeye hugeuza wote wanao mmendea kuwa chakula. Imagine mtu anatumia bro!
Kuna siku nilipiga sound nikaambiwa nilinde mgongo.. Ila kwavile nyie wote ni wazee huenda mkaelewana... Kaza babu, ule mema ya nchiHuyo mtoto ni mtam we hujui mkuu, eti Evelyn Salt unageuza watu?😁
Njoo nikuaminisheNtaamini vp.? 😎
Bro kumbe huwa mnatuona kama wanaume wenzenu sio🙆🏽♀️Labda ila kwa ninavyowaona huenda ni mtazamo wangu tu hawana cha kumbabaisha mwanaume rijali gumegume " Alpha male" hata kidogo.
Hapana My Seran, zingatia nimetaja kwa mtazamo wangu juu ya mwanaume gumegume rijali " alpha male" . Unaweza ukafanya utafiti kwa sababu hawa " alpha male" wapo maeneo mengi.Bro kumbe huwa mnatuona kama wanaume wenzenu sio🙆🏽♀️
Anhaa sawa hapo nimekuelewa vizuri.Hapana My Seran, zingatia nimetaja kwa mtazamo wangu juu ya mwanaume gumegume rijali " alpha male" . Unaweza ukafanya utafiti kwa sababu hawa " alpha male" wapo maeneo mengi.
Bila shaka, kadi ya harusi unipe mapema.Sasa ifike hatua nimrudie aliyekuwa wandani wangu Binti wa zamani, huyu binti kiziwi kadhihirisha kuwa yeye ni kiziwi kwangu
Uzuri ni kwamba umekataa kutoka kwenye reli....😁Huyo mtoto ni mtam we hujui mkuu, eti Evelyn Salt unageuza watu?😁
Kwanini hutaki nikulipie mahari wewe? Yaani na ulivyo mweupe unafikiri zitakuwa ng'ombe chache?Bila shaka, kadi ya harusi unipe mapema.
Amka kumekucha utakojolea kitanda na ndoto zako ukidhani wasukuma wote ndo walivyoHawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Am cuming 😎Njoo nikuaminishe
Jitahidi usiteteme kama jenereta la kitongoji.Am cuming 😎
Tabia sasaHatukatai wasukuma wazuri. Ila wanaoongoza kwa uzuri ni wanyaturu na wairaqwu wa Manyara.
Kazi ya kumpa raha mwanamke naweza vyema 😎Jitahidi usiteteme kama jenereta la kitongoji.
Tunataka matokeo.Siyo kesho-keshokutwa tumuone bado anacheza tu na Manunu badala ya kuagiza pemba na kutema mate kwa wingi.Kazi ya kumpa raha mwanamke naweza vyema 😎
Cum hukohuko kabla hujafika hukuAm cuming 😎
Labda mikonoKazi ya kumpa raha mwanamke naweza vyema 😎