Wazuri na wana utamu tena sio poa.Wazuri au k Yao tamu ,fafanua
Mshushe Singida Manyoni na Itigi kwanza akakutane na warimi.Karibu manyara
Kwahiyo sahivi uko wapi? Ngoja nikupigie kwanza......au upo pabaya!???Ndio maana natuma bajaj imfuate Evelyn Salt maana hawa watu wana utam wa sato!!
MwamabhanzaWapi mkuu masanza kona au Nyamikoma😂😂
😀Kwahiyo sahivi uko wapi? Ngoja nikupigie kwanza......au upo pabaya!???
Singida ndio nyumbani ila kuhusu wasukuma nimeshasema siwezi kusema kitu kwa afya ya huu uzi ila naunga mkono hoja.Mshushe Singida Manyoni na Itigi kwanza akakutane na warimi.
WAkati unaandika uzi ulikuwa bia ya ngapi ?Hawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Mke wangu wa huko pia maeneo ya Mngugia mbele ya Sepuka. Aisee watu wa kule BIG MASHAALLAH. Nadhani asili yao sio wabantu wale.Singida ndio nyumbani ila kuhusu wasukuma nimeshasema siwezi kusema kitu kwa afya ya huu uzi ila naunga mkono hoja.
Bora tu uongee bro, kukaa na kitu kitakukaba mwisho ukufeSingida ndio nyumbani ila kuhusu wasukuma nimeshasema siwezi kusema kitu kwa afya ya huu uzi ila naunga mkono hoja.