Wanawake watu wa ajabu sana

Wanawake watu wa ajabu sana

Kizigenza_

Senior Member
Joined
Apr 20, 2026
Posts
149
Reaction score
0
Wanawake wengi kwenye mahusiano yao wana wanaume wa aina 4.

1. Mwanaume aliyemfanya atoe damu

2. Ex ambaye bado anapasha kiporo akimkumbuka

3. Boya ambaye analiwa hela na anapewa mzigo kwa masharti.

4. Wewe hapo.
 
Back
Top Bottom