wanaume tujadili

wanaume tujadili

Mbona kusaritiwa na demu ni Raha sana maana anakupa nafasi ya kutafuta chuma kingine
Sasa Kwa nini upigane
kupigana siwez jamaa ndio ana lazima ngumi yaan mimi na heshima zangu nianze tu kupigana
 
Mwanamke akikucheat,wala huna haja ya kumuuliza wala kutaka kujua sababu,
Hutakiwi hata kujadili nae kuhusu hiyo issue,unampunguza kisha unapotea,wala asipate habari zako tena wala wewe usimfuatilie tena,

Walking away without a scene is self respect,
Sometimes silence says everything for you,
No drama,No explanation,just dignity.
 
mimi ndio nime mgongea jamaa
hot-tea.gif
 
Watu wa pwani wana msemo ' Kizuri shiriki na nduguyo'. Mruhusu mama watoto afanye mechi za kirafiki. Maadam hujamkuta bikra.
 
Mwanaume anahudumia, hii inampa mentality ya umiliki. Kama unavyojua mmiliki ana uhuru, mmilikiwa hana uhuru.

Nini kifanyike? Wanawake wakatae kuhudumiwa ili wawe huru kuvunja mahusiano muda wowote watakaotaka. Vinginevyo hizo huduma wanazozitaka zutaendelea kuwafanya wawe mateka kwenye mahusiano
 
Mwanamke akikucheat,wala huna haja ya kumuuliza wala kutaka kujua sababu,
Hutakiwi hata kujadili nae kuhusu hiyo issue,unampunguza kisha unapotea,wala asipate habari zako tena wala wewe usimfuatilie tena,

Walking away without a scene is self respect,
Sometimes silence says everything for you,
No drama,No explanation,just dignity.

Kuna ambae kamsomesha, kamfungulia biashara n.k sio rahisi kihivyo.
 
kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kuwa na wanawake wengi lakini wanapo gundua mwanamke wake au demu wake ana mwanaume mwingine wanakuwa tayari kupigana?

je ni mapenzi wivu au unafiki?

au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi
Umepatia kote ila hapo kwenye kupigana umekosea. Hatupigani ila tukigundua hivyo tunapiga kibuti.
 
Back
Top Bottom