Unaua kwanini hujui kuachika 🤣na hasira nitaua mtu ase
Exactlybora kuacha aende zak uchi sio wakupigania
Usi complete maisha utapata taburaha ya mapenzi ni kuacha sio kuachwa babu
Km wewe una wanawake wengi, kwanini yeye asiwe na wanaume wengi??dah jau sana
au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi
Okay 🤣mwanaume aachwi ana acha hiyo ndio sheria huna haki ya kumuacha mwanaume
Mbona kusaritiwa na demu ni Raha sana maana anakupa nafasi ya kutafuta chuma kinginekwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kuwa na wanawake wengi lakini wanapo gundua mwanamke wake au demu wake ana mwanaume mwingine wanakuwa tayari kupigana?
je ni mapenzi wivu au unafiki?
au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi