Thanks mkuu.Ngoja kwanza niunganishe dots kati ya hii ID na ID ya baharia 1
Hivi unaakili kweli wewe?Thanks mkuu.
Sijui kwanini Mods wanajikausha on this.
Gunner11 na baharia 1 ni mtu mmoja.
Hata kama mtu haujasoma idiolects, ni wazi kabisa huyu ni mtu mmoja.
Ana shida kubwa. Ni mshamba na limbukeni! Halafu ni mentally unstable and delusional with this sense of grandiosity.
Very sick dimwit.
Ana lugha chafu na muda wote anaonekana anaweweseka mno.