F fired JF-Expert Member Joined Apr 4, 2021 Posts 233 Reaction score 522 Mar 23, 2026 #1 Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,898 Reaction score 58,737 Mar 23, 2026 #2 Kama huamini tulia bob....
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 62,635 Reaction score 181,493 Mar 23, 2026 #3 Ukitaka kujua ni mambo ya kijinga na kitapeli , waganga wa kikamba kenya nao wana aminika pande ka kaskazini mwa Tanzania 🚮🚮
Ukitaka kujua ni mambo ya kijinga na kitapeli , waganga wa kikamba kenya nao wana aminika pande ka kaskazini mwa Tanzania 🚮🚮
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,651 Reaction score 6,383 Mar 23, 2026 #4 Poor Brain said: Kama huamini tulia bob.... Click to expand... 12&2-5 zimetoa sana wikend hii
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,898 Reaction score 58,737 Mar 23, 2026 #5 KERATO MOMBAA said: 12&2-5 zimetoa sana wikend hii Click to expand... SP au BT
bongo-live JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 1,790 Reaction score 2,428 Mar 23, 2026 #6 Waganga toka kenya wako vizurii
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,651 Reaction score 6,383 Mar 23, 2026 #7 Poor Brain said: SP au BT Click to expand... Merdian
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,898 Reaction score 58,737 Mar 23, 2026 #8 KERATO MOMBAA said: Merdian Click to expand... 😂😂😂😂😂
F fired JF-Expert Member Joined Apr 4, 2021 Posts 233 Reaction score 522 Mar 23, 2026 Thread starter #9 Poor Brain said: Kama huamini tulia bob.... Click to expand... naamini ilikua kosa