M Malaria Sugu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2009 Posts 12,513 Reaction score 15,686 Aug 9, 2026 #1 Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day.
M mbari sa menya JF-Expert Member Joined Apr 29, 2022 Posts 1,012 Reaction score 1,942 Aug 9, 2026 #2 Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 65,769 Reaction score 113,036 Aug 9, 2026 #3 Tuliza mzima sheikh, mpira ni mkubwa kuliko dini.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,642 Reaction score 5,736 Aug 9, 2026 #4 Dini zililetwa tuu.