KORESHI mana
Senior Member
- Nov 29, 2024
- 186
- 269
Yamekushinda ndo umekuja kutushirikisha!? Anyway mwongezee mapicha picha tu, atachomoka mwenyewe
Ona jinga hili. Halioni hata aibu kuanika upumbavu wake humu!Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.
Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!
Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!
Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
Haya malaya mwingine huyu hapa 😂 😂 😂Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.
Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!
Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!
Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
Ni mwendo wa kutoleana povuHaya malaya mwingine huyu hapa 😂 😂 😂
Bado kanasiaYamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.