My friends ladies and gentlemen,Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri
Uwanja ni wako
Mimi binafsi nitamkumbuka kwa kuidhinisha mauaji wa watanganyika maelfu kwa maelfu kwa kidhamiriaInawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri
Uwanja ni wako
Urais si nafasi ya kila mtu. Hasa illiterates.Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri
Uwanja ni wako
Ukituambia wewe utamkumbuka kwa lipi itapendeza sana.My friends ladies and gentlemen,
Kwanza kabisa,
taifa litamkumbuka Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa ujasiri, uthubutu na umadhubuti wake wa kukubali kuipokea nchi katika mazingira magumu, kuidhibiti, kuipitisha na kuiongoza katika kipindi kigumu cha majonzi na hatari zaidi za usalama kufuatia kifo cha aliekua Rais wakati huo hayati DR JPM. Hapa, Dr Samia Suluhu Hassan alionyesha umahiri wa kiwango cha juu mno katika uongozi wa taifa.
Lakini pia,
hatua ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan mara tu baada ya kushika hatamu za uongozi wa nchi na kuamua kwa makusudi kabisa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu, na kuliunganisha taifa kwa falsafa ya 4Rs, hakuna mTanzania anaweza kusahau jambo zito na la maana zaidi kama hili.
Zaidi sana,
falsafa za Dr Samia Suluhu Hassan kama "Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee" au "kazi na utu tunasonga mbele pamoja "ni mambo yatakayoishi milele yote miongoni mwa vizazi vya waTanzania.
Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukamilisha kwa kishindo miradi mikubwa ya kisasa na yakimkakati kama vile treni ya SGR, bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, ujenzi wa zahanati kila kijiji, kukomesha kabisa tatizo la umeme, kuimarika kwa hali ya usalama nchini na kuongeza uwekezaji nchini ni miongoni mwa mambo machache sana kati ya mengine mengi sana yatayokafanya waTanzania kutomsahau Rais Dr Samia Suluhu Hassan maisha yao yote 🐒
Gentleman,Ukituambia wewe utamkumbuka kwa lipi itapendeza sana.
Unaliongelea Taifa lipi? Au ndo ile kasumba ya mbogamboga kuwa inamiliki mpaka uwezo wa kufikiria na utashi wa kila raia wa nchi hii?
Swali limenyooka. Sema wewe utamkumbuka kwa lipi liwe jema au baya
Hapa wachagie wanaopata Samia Scholarship, Samia Sekondari na Samia Primary school pamoja na wanufaika wa TASAFYawe mabaya au mazuri
Hakuna wanaharakati wanaopotosha watu bana kila kitu kipo waziSimsafishi...
Ila yanayotokea ni matokeo ya mfumo flani kuendekezwa.
Na bila mfumo huo kuondolewa, mambo kama haya yatajirudia tu.
Wanaharakati wanapotosha watu. Wanamuongelea yeye tu. Tundu Lissu ndo yupo vizuri ameweka wazi tatizo la mfumo mzima.
1: Ameajiri vijana wote wanaomaliza vyuo.Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030
Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.
Yawe mabaya au mazuri
Uwanja ni wako
Kiongozi wa nchi ana wajibu wa kuweka msingiKabisa, japo binafsi siamini kama anapaswa kubeba lawama peke yake kwenye masuala ya demokrasia.
Ni hicho chama kizima chenye falsafa za Mao kutoka kwa Nyerere.
WanaCCM wakubwa wanaamini chama kinakuja kabla ya nchi.
Moy wake ni mchafu ndio maana anatetea kiti CHAKE kwa maslahi yakr hata kama inamaanisha kuua maelfuSimsafishi...
Ila yanayotokea ni matokeo ya mfumo flani kuendekezwa.
Na bila mfumo huo kuondolewa, mambo kama haya yatajirudia tu.
Wanaharakati wanapotosha watu. Wanamuongelea yeye tu. Tundu Lissu ndo yupo vizuri ameweka wazi tatizo la mfumo mzima.
Rais form four failure kupata kutokea TzKufanikiwa kuwa Kiboko wa minyumbu, Sasa hivi imebaki kuchamba tu. Mamamaee