Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

Kimsingi hiyo mechi simba ana asilimia 35 za kushinda!!. Amejitahidi sana ni draw. Amekoswa na Namungi, amekoswa na JKT sasa manyambizi Wanabonda na kunyonga 😅😅🤣
 
Yanga na Simba zote zitashinda,
Azam atafungwa au ata draw na magoli mengi yatapatikana kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom