Usela sasa nauaga rasmi!

Usela sasa nauaga rasmi!

Habari mrembo…nilivyoina likes kutoka kwa ELIKANA halafu na ID yako inaonekana kwa paja la kichaga lililojazia nikakukumbuka sana.

HUWA NINAFUATILIA MADA ZAKO.
Kama ya yule jamaa aliyemwambia mzazi mwenzie kuwa “mtoto atakapofikisha miaka saba nitamtafuta” at the end hakumpata mtoto wala mama,wote walishakimbia dunia.

Anyway i missed you much mlimbwende,ni heri kuuona uwepo wa uhai wa Id yako.

MAMBO SWEETIELADY?
Asante sana.
Nimefurahi kusikia hivo.
Usijali nitakuwepo humu Kila wakati.
 
Mlio singo kazeni mpo pungufu kiwanjani, na Bado Kuna mchele mchele, beki hazi Kabi, soda Haina gesi. Round hii hamtoboi.
 
“By all means, marry. If you get a good wife, you'll be happy; if you get a bad one, you'll become a philosopher.” (Socrates)
 
Mtumishi mbona haya maombi yanafanana na yale ya mtungi wa GESI....!??
Hapana yangu ni next level namfungua vifungo vyote dental formula ikae sawa! Shetani amemchezea sana adui anamuangusha na kumpa sura isiyoeleweka😎
 
Ukifika 40s ndipo utagundua ulifanya makosa. Ila kama umeoa bikra nakupa pongezi vinginevyo rudia sentensi yangu ya kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom