Rasmi nasapoti operation kataa ndoa

Rasmi nasapoti operation kataa ndoa

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
713
Reaction score
573
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano miaka saba. nilizaa naye watoto zaidi ya mara mbili lakini wote walifariki.

Kwao wananifahamu na kwetu pia wanamfahamu. Miezi ya hivi karibuni alibadilika ghafla aliondoka tulipokuwa tunaishi akasema kwamba anaenda nyumbani kwao mimi nikakubali bila kujua nini kinaendelea.

Nilikuwa nimemfungulia biashara sikupata wasiwasi wowote kwa sababu kila siku alikuwa anakuja kwenye biashara na tunaonana,ila nyumbani akawa hafiki kabisa.

Akaanza kuleta vituko, hakutaka tufanye mapenzi wala kua karibu tena hakutaka nimguse, nikaamua kumwekea mitego kwenye simu yake nikaja kugundua kuna jamaa pembeni ya hiyo biashara ambayo nimemfungulia amempangia kila kitu cha ndani na anaishi naye.

Na huyo jamaa ameoa lakini huyo mwanamke wangu anaishi naye kama mchepuko ndani.
Baada ya kugundua nilipata hasira sana nikaamua kuchukua hatua kwa kutafuta wote wawili wajue ukweli .

Huyo mwanaume hakupokea simu ila sms za kila kitu alipata. Mwanamke nilionana naye na nikamwambia sitaki kuendelea naye tena nimejua kila kitu. Hili jambo limeniumiza sana moyo wangu na rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.

Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
 
nilikuwa nimemfungulia biashara sikupata wasiwasi wowote kwa sababu kila siku alikuwa anakuja kwenye biashara na tunaonana,ila nyumbani akawa hafiki kabisa.

Akaanza kuleta vituko, hakutaka tufanye mapenzi wala kua karibu tena hakutaka nimguse, nikaamua kumwekea mitego kwenye simu yake nikaja kugundua kuna jamaa pembeni ya hiyo biashara ambayo nimemfungulia amempangia kila kitu cha ndani na anaishi naye.

Na huyo jamaa ameoa lakini huyo mwanamke wangu anaishi naye kama mchepuko ndani.
Baada ya kugundua nilipata hasira sana nikaamua kuchukua hatua kwa kutafuta wote wawili wajue ukweli .

Huyo mwanaume hakupokea simu ila sms za kila kitu alipata. Mwanamke nilionana naye na nikamwambia sitaki kuendelea naye tena nimejua kila kitu. Hili jambo limeniumiza sana moyo wangu na rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.

Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
GOOD FOR YOU
 
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano miaka saba. nilizaa naye watoto zaidi ya mara mbili lakini wote walifariki.

Kwao wananifahamu na kwetu pia wanamfahamu. Miezi ya hivi karibuni alibadilika ghafla aliondoka tulipokuwa tunaishi akasema kwamba anaenda nyumbani kwao mimi nikakubali bila kujua nini kinaendelea.

Nilikuwa nimemfungulia biashara sikupata wasiwasi wowote kwa sababu kila siku alikuwa anakuja kwenye biashara na tunaonana,ila nyumbani akawa hafiki kabisa.

Akaanza kuleta vituko, hakutaka tufanye mapenzi wala kua karibu tena hakutaka nimguse, nikaamua kumwekea mitego kwenye simu yake nikaja kugundua kuna jamaa pembeni ya hiyo biashara ambayo nimemfungulia amempangia kila kitu cha ndani na anaishi naye.

Na huyo jamaa ameoa lakini huyo mwanamke wangu anaishi naye kama mchepuko ndani.
Baada ya kugundua nilipata hasira sana nikaamua kuchukua hatua kwa kutafuta wote wawili wajue ukweli .

Huyo mwanaume hakupokea simu ila sms za kila kitu alipata. Mwanamke nilionana naye na nikamwambia sitaki kuendelea naye tena nimejua kila kitu. Hili jambo limeniumiza sana moyo wangu na rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.

Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
Ndoa haikatawi kwa namna hiyo labda uwe mwanaume punga Yani miezi flan unakaa sawa miezi flani chenga
 
rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.

Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
Pole, Wakati unakataa ndoa, aliyekuchukulia mwanamke ana mke wake, anajiulia tu ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Pole sana. Huyo mwanamke ni mjinga na hana akili. Hakuwa mke sahihi, na kama ungemuoa huyo hakuna rangi ungeacha kuiona. Kwanini hukuweza kulisoma hili mapema?

Ujinga wake usikufanye ukajustify kirahisi kuwa ndoa haina umuhimu, hizo ni hasira,. Punguza hasira. Subiri hasira ziishe kisha ufanye maamuzi sahihi ya kuchagua mwanamke sahihi.
 
Kama hukumkuta bikra hasikuumize kichwa, tulia usifanye maamuzi ukiwa na hisia kali.
 
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano miaka saba. nilizaa naye watoto zaidi ya mara mbili lakini wote walifariki.

Kwao wananifahamu na kwetu pia wanamfahamu. Miezi ya hivi karibuni alibadilika ghafla aliondoka tulipokuwa tunaishi akasema kwamba anaenda nyumbani kwao mimi nikakubali bila kujua nini kinaendelea.

Nilikuwa nimemfungulia biashara sikupata wasiwasi wowote kwa sababu kila siku alikuwa anakuja kwenye biashara na tunaonana,ila nyumbani akawa hafiki kabisa.

Akaanza kuleta vituko, hakutaka tufanye mapenzi wala kua karibu tena hakutaka nimguse, nikaamua kumwekea mitego kwenye simu yake nikaja kugundua kuna jamaa pembeni ya hiyo biashara ambayo nimemfungulia amempangia kila kitu cha ndani na anaishi naye.

Na huyo jamaa ameoa lakini huyo mwanamke wangu anaishi naye kama mchepuko ndani.
Baada ya kugundua nilipata hasira sana nikaamua kuchukua hatua kwa kutafuta wote wawili wajue ukweli .

Huyo mwanaume hakupokea simu ila sms za kila kitu alipata. Mwanamke nilionana naye na nikamwambia sitaki kuendelea naye tena nimejua kila kitu. Hili jambo limeniumiza sana moyo wangu na rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.

Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
We dogo bado lena kwenye hili game ....
 
M
We hujui maana ya kataa ndoa kwa tafsiri nyepesi ni kutokujihusisha na jinsia KE badala yake unakuwa ndugu wa sabuni na goli la mkono. Kataa ndoa hawajawahi kuwa na watoto we una watoto tayari acha kuwadanganya vijana

Mbona nimesema walifariki mkuu
 
Back
Top Bottom