AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,359
- 24,852
Haukua una daftari la kumbukumbu ukague umepata hasara kiasi gani ndani ya hio miaka 7 au unachukulia poa tu?Ulitaka niendelee nae mkuu
Haukua una daftari la kumbukumbu ukague umepata hasara kiasi gani ndani ya hio miaka 7 au unachukulia poa tu?Ulitaka niendelee nae mkuu
Polee mkuu sikusoma vizuriM
Mbona nimesema walifariki mkuu
“Uchumba sugu “Huyo mwanamke nae punguani,,kutoka kwenye uchumba sugu,,Hadi kuwa mchepuko😁😁😁😁🙌,,pole yake.
Huwa naamini ukiamua kumpuuza mtu aliyekuchefua mpuuze kikamilifu. Mpuuze mpaka abaki historia completely na kama hiyo historia inaleta shida currently nayo ifute tu maana ni ya kipuuzi kama mpuuzi aliyefutwa. Historia yenye thamani ni watoto tu otherwise ni upuuzi.Sure,bora ku move on tu
Umeongea kitu kikubwa sana, naondoka na hii mkuu 👍🥂Huwa naamini ukiamua kumpuuza mtu aliyekuchefua mpuuze kikamilifu. Mpuuze mpaka abaki historia completely na kama hiyo historia inaleta shida currently nayo ifute tu maana ni ya kipuuzi kama mpuuzi aliyefutwa. Historia yenye thamani ni watoto tu otherwise ni upuuzi.
Karibu sana mkuu sisi kama waandamizi wa KATAA NDOA COMMUNITY tunakukaribisha sana kwenye ukanda huu wa kukataa utapeliKuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano miaka saba. nilizaa naye watoto zaidi ya mara mbili lakini wote walifariki.
Kwao wananifahamu na kwetu pia wanamfahamu. Miezi ya hivi karibuni alibadilika ghafla aliondoka tulipokuwa tunaishi akasema kwamba anaenda nyumbani kwao mimi nikakubali bila kujua nini kinaendelea.
Nilikuwa nimemfungulia biashara sikupata wasiwasi wowote kwa sababu kila siku alikuwa anakuja kwenye biashara na tunaonana,ila nyumbani akawa hafiki kabisa.
Akaanza kuleta vituko, hakutaka tufanye mapenzi wala kua karibu tena hakutaka nimguse, nikaamua kumwekea mitego kwenye simu yake nikaja kugundua kuna jamaa pembeni ya hiyo biashara ambayo nimemfungulia amempangia kila kitu cha ndani na anaishi naye.
Na huyo jamaa ameoa lakini huyo mwanamke wangu anaishi naye kama mchepuko ndani.
Baada ya kugundua nilipata hasira sana nikaamua kuchukua hatua kwa kutafuta wote wawili wajue ukweli .
Huyo mwanaume hakupokea simu ila sms za kila kitu alipata. Mwanamke nilionana naye na nikamwambia sitaki kuendelea naye tena nimejua kila kitu. Hili jambo limeniumiza sana moyo wangu na rasmi nimeingia kwenye oparesheni akataa ndoa.
Je una lipi la kunishauri ndugu yangu mwana jf.
Sheria ipi ya mkononi ambayo umeimaanisha hapa?Pole mjomba. Hakikisha tu hujichukulii sheria mkononi. Hawa ndugu zetu kuna wakati hawaelewi wanataka nini kwenye maisha.
Ukitulia na kujipa muda wa mapumziko na tafakari, utampata wa kufanana na wewe. Usikate tamaa kumuomba Mungu akupatie mke mwema.