TPDC yaeleza ukweli wa gesi ya Ruvu

TPDC yaeleza ukweli wa gesi ya Ruvu

Hizi gesi zinatakiwa zitumike na kuleta unafuu wa maisha kwa wananchi, kusema imegunduliwa ipo haimsaidii kitu mwananchi kama mimi, maana hata madini yaligunduliwa na yapo lakini mwananchi wa kawaida hayamsaidii kitu, kutumia dhahabu ni jambo la ajabu kwa mwananchi wa kawaida kama haipatikani nchi hii.
Tutakaponunua mtungi wa kilo 15 kwa elfu 10 hapo tutasema ina tusaidia vinginevyo ni uhuni tu
 
Wacha porojo, weka ushahidi.

Punguani kama wewe uione mikataba aliyojilimbikizia ukiwa kama nani?

Hivi huu ujinga wa kuropoka ropoka hovyo mtauacha lini?

Na kuna mizumbukuku i

takubali porojo zako na kukuunga mkono.
Punguani wahed.

Waliposema zamu yetu tulielewa vibaya sasa ndio tumeelewa ilikuwa na maan gani! Kama hata u DC hukupewa subiri 46+1 kwa Magu kama itampendeza! Zaidi hapo ukawe yaya nyumbani kwa mfalme! Wenzako wamejilimbikizia wewe unabakia kupinga kwenye mitandao! Hatuongei kwa kubahatisha! Kalaghabao!!! Hata Magu analijua hilo la Ruvu!! Kama hutaki acha!ukweli utabakia pale! Magu anazo taarifa zote na contractors wote twalijua hilo! Subiri IPTL mkataba uvunjwe utaelewa maana yake nini! Mjomba achutame tu maana taulo ladondoka soon! Subiri june utaelewa!
 
Porojo ndeeeeeefu na hakika unaakili za kitumwa, umeona ukuu wa wilaya kazi ya maana sana ya mimi kuimarika?

Mimi, just for your information, si wskuajiriwa ni wakuajiri tu, hatujawahi kuwa waajiriwa kuanzia mababu na mabibi zangu, sisi ni waajiri tu.

Wa mbili havai moja.
 
Tatizo ni kwamba mwenye gas ni yule aliyeichimba na sisi tunaambulia kodi kiduchu maana jamaa huwa wanadanganya kuhusu mapato halisi! Udanganyifu unaanzia kwenye utafiti. Watafiti wanadanganya gharama walizotumia kwenye utafiti. Wanataja gharama maradufu na kuwa inabidi warudishe kwanza gharama zao kabla ya kuanza kulipa kodi!
mkuu hilo ndo tatzo yaaaani kila kitu ktk kuinvent tumeewaachia wagunduzi pekeyao.,.....
na hapo huo udanganyifu ndo unapokuja sasa......na hapo ndo upigaji unaanza wa kupiga coz viongoz ni wazembe hawana misingi inayoeleweka na kurahisisha wizi wa wawekezaji.......lah hasha bas huwa kuna 10%........
soma post yangu #10 mkuuuu...........
 
Waliposema zamu yetu tulielewa vibaya sasa ndio tumeelewa ilikuwa na maan gani! Kama hata u DC hukupewa subiri 46+1 kwa Magu kama itampendeza! Zaidi hapo ukawe yaya nyumbani kwa mfalme! Wenzako wamejilimbikizia wewe unabakia kupinga kwenye mitandao! Hatuongei kwa kubahatisha! Kalaghabao!!! Hata Magu analijua hilo la Ruvu!! Kama hutaki acha!ukweli utabakia pale! Magu anazo taarifa zote na contractors wote twalijua hilo! Subiri IPTL mkataba uvunjwe utaelewa maana yake nini! Mjomba achutame tu maana taulo ladondoka soon! Subiri june utaelewa!
mkuu umeongea point sana mkuuu,.....ukweli mwenye sikio na askie.......
jpm alisema atacheki mikataba yooooote ya gas na rasilimali zngine.......ila simsomi kabisa mkuuuuuu
tusubr tuone contract itakuaje........
 
MKIAMBIWA UKWELI KWAMBA MITAJI YENU NI MIDOGO MNAKASIRIKA WAKATI NDIO UKWELI. Madini yenyewe kama dhahabu na Tanzanite ambayo utafutaji na uchimbaji wake naweza kusema gharama zake ni nafuu tunashindwa sembuse gesi na mafuta! Let's us be realistic.
mkuuu tukiamua tunaweza mbona ghana baadhi ya vifaa vya ugunduzi ni vya nchi binafsi,.....tatzo uzalendo na faida wanazopata viongozi,.;.....
hivi huyo mwekezaji hiyo fedha anayorudisha baada ya kutafuta na kuchimba hiyo gas akishaipata sisi tunashindwaje kupata pesa zingine za ununuzi wa hivyo vifaaa.......
muhongo anajulikana kuwa sio mwaminifu kwa taifa,.....
ila rais kamrudisha madrakani tena ktk sector ileile ya nishati na madini,...na gas imegunduliwa tangu mwaka jana juni wakat huo muhongo huyohuyo akiwa wazr wa nishati na madini,.......na muhongo ni mpigaji,.kwa mwenye akili anaelewa kaja ktk ile nafasi kutimiza mipango gani.....iko plain
wATZ tusiwe wavivu kuwaza rasilimali za nchi zitabaki ktk mikono ya ccm bila usalama yakinifu na yatawanufaisha CCM No matter nani ni kiongoz......
tusijifariji kuwa ziko
kwanini mikataba haipo waziiiii na explanations zake raia hawaelewi???????????????????????????????????????????????????
hamna kiongoz mwema ndani ya ccm
 
Tutakaponunua mtungi wa kilo 15 kwa elfu 10 hapo tutasema ina tusaidia vinginevyo ni uhuni tu
licha ya kununua mkuu ila muhimu mikataba ya hiyo gas iwe waz na huu utamaduni wa kupiga bumbuwazi uendeleee
pesa zake za ktk mikataba ziwe waz znatumika vp.........
mkuu swala la gas kununua elf10 sahau,.....
korosho znalimwa mtwara,...we mara ya mwisho kula ni lini???????na ulinunua shillingi ngapi????????
nigeria ndo nchi mama kwa kuzalisha mafuta afrika,......lkn raia wake wananunu mafuta bei ghari vibaya mno,....
afrika viongoz wanatuangusha kwa kuwa wabinafsi kujijali wao binafsi kiuliko taifa........
 
Back
Top Bottom