Tego: Uchawi wa wahehe huko Iringa

Tego: Uchawi wa wahehe huko Iringa

Mkuu uchawi ni elimu ile na elimu haina mipaka, kwahiyo hata wewe wasiyekujua wanaweza kupata taarifa zako kwa namna wanayojua na wakatumia taarifa hizo kukuroga.

Na katika mazingira mengine kumroga mtu sio lazima hadi umjue huyo mtu na ndio maana wezi wanarogwa pasina kujulikana ila baada ya kurogwa ndio anakuja kujulikana kuwa kumbe alikuwa yeye.
 
Yaani aliyeibiwa akawaua wale ambao hawakumuibia!?

Huo ni uonevu mkubwa sana! Yeye ange deal na mwizi wake, why? Kwa sababu yawezekana hata hao wasio na hatia walimkanya sana mwizi kwenye hiyo tabia yake!!
Hiyo ndo ngozi nyeusi sasa. Matumizi ya akili huwa ni madogo ukilinganisha na nguvu. Au unahisi tulitawaliwa kwa sababu gani?
 
Katika safari ya maisha miongo kadhaa iliyopita nilishuhudia mambo ya kichawi mubashara.

Iringa kuna sehemu inaitwa Kihesa...kwa miaka hiyo palikuwa ni kama makazi mapya.

Hapo Kihesa alikuwa anakaa jamaa mmoja ambaye tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni fulani ya usafirishaji.

Hapo Kihesa kwa wakati huo watu walikuwa wanachangamka kujenga nyumba za bati kwa nyakati hizo.

Sasa huyu jamaa yetu kwa tamaa na kukosa hela ya bati aliiba ng'ombe za jamaa fulani pahala fulani.

Kimsingi ilijulikana kabisa ni yeye aliye iba. ....Wazee ndugu jamaa na marafiki wakamsihi aende kutubu na kulipa ng'ombe za watu.

Lakini huyu jamaa yetu alifanya kibri na kuleta zereu,

Ikatangazwa TEGO ...hii ni dawa inatengenezwa.... inauwa mlolongo wa watu kimaajabu maajabu kwa vipindi vifupi vifupi...na muhusika ndio anakuwa wa mwisho kulamba u mauti.

AMINI USIAMINI WATU WALIKATIKA MUBASHARA>>>SABABU ILIKUWA INAJULIKANA WAZI WAZI>>>LAKINI NAMNA YA KUTEGUA HIYO TEGO,,,,ILIKUWA HAIPO>>>JAMAA YETU ALIKUWA ANAKIRI WAZIWAZI KWAMBA TEGO LITAMFIKIA>>
NA KWELI TEGO ILIMPATA....TUKAENDA KUMZIKA MAKANYAGIO.
Kuna brother angu alikua afisa wa police hayo maeneo unayo yataja walikua na wenzake wakadhulumu Ng'ombe wamasai si unajua KITENGO CHA mifugo police wakaanza pukutika mmoja baada ya mwingine ila brother angu alipona maana Kuna mtaalamu wake alitegua ila wenzake wengi walikufa kima ajabu ajabu kama usemavyo
 
Mwambiiie....
Watu wanafanya masihara.......
Kukalishwa kwenye kigoda..... kupewa ngao....mkuki na mavazi n.k wa kadha...bado watu hawaelewi........
Hauji maana ya kuwekwa kwenye kigoda na KUPEWA MKUKI NA NGAO NA KUPIGWA NA USINGE

MIMI BABA ANGU ALIPEWA BABU ALIVYO FARIKI WEKWA KWENYE KIGODA NA UNAKABIDHIWA MKUKI, NGAO NA UPINDE

MAMBO YA KIMILA HAYOO
 
Back
Top Bottom