VanDon
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 476
- 816
- Thread starter
- #21
Me huwa sirudii kutoa shikamoo kwa mtu aliyevunga. Tena huyo nilimsalimia tu kwa kuwa niliyeongozana nae wanafahamiana.huwenda alikuelewa na wew unakazan na. shikamooo zako muwe mnajiongeza kwa kusoma saikolojia zao usijeambulia kupopolewa na maneno maan wengine hawachelew