Tatizo ni nini?🤔

Tatizo ni nini?🤔

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
476
Reaction score
816
Kuna siku niliongozana na mdada, kufika mahali tukamkuta mama mtu mzima tu kiumri amepiga hatua kidogo.

Yule dada niliyekuwa naye akamsalimia (Shikamoo) bi mkubwa akaitikia vizuri tu.

Mimi pia nikamsalimia, ila salamu yangu hakuitikia! Akaniuliza tu umeshindaje?

Au wamama wa mjini hawataki kuzeeka!

Tatizo ni nini, sijui! 🤔
 
Shikamoo wape unaowajua, Kuna watu unaweza kuwaona wazee kumbe ni Maradhi,Wewe kama una heshima sana onesha kwa matendo, Mfano ukiwa kwenye daladala umekaa kwenye siti,Akaingia mkubwa hana siti mpishe,Hiyo ndiyo heshima,Siyo shikamoo.
 
Haina mbaya, ushauri umepokelewa!
 
Hiyo ni kawaida mbona kwa jinsia tofauti. Mie sipendi shikamoo ila mara nyingi natoa kwa wanawake ninao waona wamenizidi umri. Lakini wanaume wa makamo ni Habari tu.
 
Mambo ya hovyo kabisa, mimi kwetu naamkia ndugu zangu & Jamaa wakaribu tu ila watu baki labda wazee watu wazima lakini mwanamke wa makamo ambaye nina uwezo wa kumlala siwezi kumuamkia hata kama kanizidi 20 years.
 
Sawa Mrs Van
 
Ni mwendo wa kula bata tu!
 
Oyaaa! Sio poa kaona kabisa kuna jambo nataka kumbania!😆
huwenda alikuelewa na wew unakazan na. shikamooo zako muwe mnajiongeza kwa kusoma saikolojia zao usijeambulia kupopolewa na maneno maan wengine hawachelew
 
Back
Top Bottom