TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,377
- 2,974
Habari, ndugu mteja.Najua TANESCO wana matatizo mengi, lakini katika mashirika ambayo angalau yanajaribu kuja hapa JF kujibu na kutoa updates nafikiri wamejitahidi, ni kama shirika pekee ninaloliona hapa.
Na kuna matatizo mengine inawezekana yakawa ni ya kisera na kimfumo zaidi yamewapita kimo watendaji wanajitahidi lakini huko juu kabisa kunakofanyika maamuzi hawasikii.
Tunashukuru sana kwa ujumbe wako. Tunaomba tuiwasilishe ili kuzingatiwa katika juhudi za kuboresha huduma zetu.
Tunathamini mrejesho na ushirikiano wako.
Asante sana. ^NI