Somalia yanyonga wanajeshi wake 2

Somalia yanyonga wanajeshi wake 2

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,218
Reaction score
5,975
Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae kubainika walivujisha siri za uwepo wake.
 
Back
Top Bottom