Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 17,832
- 33,885
AI inafatiliza data zinazo ingizwa humu ziwe za kweli ama uongoHadi AI analijua hili😁😁,,muulize ucheke.
AI inafatiliza data zinazo ingizwa humu ziwe za kweli ama uongoHadi AI analijua hili😁😁,,muulize ucheke.
Jamani,mambo first born.AI inafatiliza data zinazo ingizwa humu ziwe za kweli ama uongo
Fresh, umepotea firstborn you are no where to be foundJamani,mambo first born.
Nipo bhana kaka yangu,,humu naingia kama hivi,,wewe ndio umehamia TikTok kusaka watoto wazuri.Fresh, umepotea firstborn you are no where to be found
Binti Warda tupe vitu vyako vya Mtwara basi.Nipo bhana kaka yangu,,humu naingia kama hivi,,wewe ndio umehamia TikTok kusaka watoto wazuri.
chupa imeanza kupoozaSiye twataka kukuona weye
We mshamba wa butiama huwezi kuelewa.chupa imeanza kupooza
ukweli unaumaaa, dar imekulegeza mapema sio kama nilivyo dhani, sema nini bado tunaweza kukuwahi😃We mshamba wa butiama huwezi kuelewa.
Kiswahili cha Mtwara hicho. Kiswahili OG.
Wana lafudhi na maneno ya shobo wale, kosea kuweka ndani ulie kilio cha mbwa kokoWe mshamba wa butiama huwezi kuelewa.
Kiswahili cha Mtwara hicho. Kiswahili OG.
Si umenikataa first born?Nipo bhana kaka yangu,,humu naingia kama hivi,,wewe ndio umehamia TikTok kusaka watoto wazuri.
Hahaha nilikumissssssssssEti nini?? Ni mix au miss??
😂😂😂 nawee ni Gen Z sahivi?
Body is ugali maharage 😁Binti Warda tupe vitu vyako vya Mtwara basi.
Siye twataka kukuona weye.
😆😆😆😆😆Khaa hii nayo ni ngeni kwnagu! Kumbe kuna fantasy nyingi hivi😁
Mie kulumbembe siwezi kukukubali wewe tajeer,,ushasema jf hakuna wanawake,,,Sasa unatakaje first born.Si umenikataa first born?
Muache mwenzio,mbona unamtisha bhana.Wana lafudhi na maneno ya shobo wale, kosea kuweka ndani ulie kilio cha mbwa koko
Sio shida zangu mie...Body is ugali maharage 😁
Sio shida zangu mie...
Lete mambo.