Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe tenaa?? Sio ndio una trauma hadi wakuhurumiwa kabisa?
Chiwawa, omba omba, 😂😂😂😂
Poleee
Sema akili zako ni kama za Lamomy maana sometimes naonaga unachangia points, (majukwqq mengine) ila kama una mindset hii, bado kuna vi element vya ujinga ndani ya kichwa chako.
 
Sema akili zako ni kama za Lamomy maana sometimes naonaga unachangia points, (majukwqq mengine) ila kama una mindset hii, bado kuna vi element vya ujinga ndani ya kichwa chako.
Chiwawa AKA, Omba Omba, mie nakupokea km unavyokuja, halafu mbona sijakosea, nimeeleza uhalisia wako, sio wewe unaeshusha nyuzi za Trauma ulizopitia maishani? Tena unashusha nyuzi Lukukiii.

Haya wewe sio omba omba? Zile 20k ulizokua unaomba omba hapa jukwaani? Tena kiwango chako ni 20k tu, hupunguzi wala huongezi,

😂😂😂 Relaaax Dogo.
 
Back
Top Bottom