Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹 Sijui hata inakuwaje mpaka nakua hivyo?
Mi nikiona upande mmoja unaonewa nahama team naanza kushambulia..!!

Itabidi huu mwaka ukiisha ni ignore majukwaa yote yenye hekaheka nibaki siasani na la mambo ya uchumi..!!
Hahaha sasa selfika itakuwaje haha.
 
Back
Top Bottom