ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 23,181
- 52,980
Tafuta mtu usije kujiunga na chama cha ku brendaaaa ohooooMachawa hapana, sitaki hata kuwasikia bora nibaki single 😹😹😹
Tafuta mtu usije kujiunga na chama cha ku brendaaaa ohooooMachawa hapana, sitaki hata kuwasikia bora nibaki single 😹😹😹
ngoja ntaongea na kantri aweke msisitizo 😁Niko serious bhana! 😹
Naona watesi walivyojipanga ku download hakuna jipyaaaa ni ile ile tu enyi wambea isipokua hii ni clip ile ilikua picha kwako Lamomy 😅😅Weka sasa
njoo sasa 😁 anza kutembelea embassyNa mimi nipeleke 😹
hahahahaha,hapana😹😹😹acha izo janja janja
Toa wasifuUna vigezo dogo?
Hayo ndio manenoTayari nishapita au niongeze zingine?
Am not happy at allToday you are not very happy?
😹😹😹 Acha nitafute, kuna member aliniambia tatizo Lamomy hauko serious..!!Tafuta mtu usije kujiunga na chama cha ku brendaaaa ohoooo
Mi nishakuhakikishia, hiyo issue yetu hahitajiki winga 😹😹ngoja ntaongea na kantri aweke msisitizo 😁
We sio mitaa ya Hurumzi Soko mhogo Zanzibar 🤣🤣🤣Azerbaijan
Niliweka kwa dakika nzima sijakuona nikatoa 😆😹😹😹 Watesi achana nao, kama wanaumia nao waeke yao..!!
Iko wapi sasa?
Nakuja tajiriii, Embassy zenyewe zinalinga kutoa visa… nchi za hovyo visa zao unapewa chap..!!njoo sasa 😁 anza kutembelea embassy
Si ndiwooooo😹😹😹 Acha nitafute, kuna member aliniambia tatizo Lamomy hauko serious..!!
😹😹😹 Mshafika VAR hamjui kuvunga lol!We sio mitaa ya Hurumzi Soko mhogo Zanzibar 🤣🤣🤣
Baadae sasaMi sijaona rudia
Mwe! 😥Niliweka kwa dakika nzima sijakuona nikatoa 😆
Baadae ya wapiBaadae sasa
Kuna mmoja huyo nataka nimpe nafasi sijui tutawezana? 😹😹Si ndiwooooo