Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 5,392
- 13,723
😹😹😹acha izo janja janjaHahahaha, itakua umepitwa, nitupia shati la kitenge ,ki church church leo
😹😹😹acha izo janja janjaHahahaha, itakua umepitwa, nitupia shati la kitenge ,ki church church leo
😹😹😹😹😹pole kwa kuumizwa kwanzaMallerina na babe wako Mtoto halali na hela mnaendeleaje?
Njooni mselfike basi mnifariji dada yenu..!!
Hapa ndo nakupendeag yani ww ukiwekaga hufuti mpaka niiikute🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳Huna ubavu wa kuweka 🤣
View attachment 3706606
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ukipiga na kuiacha kuna shidaaa ina maana tukae humu kama Walinzi?
Hio naked iruduwehii naked kabisa, ulisema unanifananisha na nani? spidernyoka
Tutafika muhimu kwa sasa tumempata mpinzani wa kweli..!!Pole sana maa 🫂
Huyu mwenda zake apumzike anapostahili
Hili jambo mpaka leo wa zanzabar wamelishikilia na wanalo sana angalia tunapozungumzia mo 29 wao hua wanaweka maoni gani
Pole yetu wote
Fanya siku uandike please
Sheria inabakwa kweupe!
Hata wale ambao hatujasomea sheria tunaona jinsi Lissu alivyoonewa
Dunia nzima imeona
Lakini kwa sababu hawa watu wamedhamiria kufanya wanachotaka, hawaoni hata aibu ilimradi mambo yao yanaenda kama walivyopanga
Naunga mkono suala la Katiba mpya.
Jaji Mkuu anateuliwa na Rais
Hapo kuna nini kingine cha ziada zaidi ya kujiuliza kuhusu uhuru wa mahakama na uwezekano wa kupokea maelekezo?
Na hata hukumu ya juzi ni dhahiri yalikua maelekezo ukiangalia namna nduguru alivyokua anazunguka mbuyu kuja na ile hukumu
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi naye vivyo hivyo Anateuliwa na Rais
Hii Katiba mbovu inayompa mtu mmoja madaraka makubwa ya kuamua mambo ndiyo imetufikisha hapa tulipo
Nyerere alifanya mengi mazuri lakini pia alituachia laana na laana yenyewe ni hii Katiba
Ndiyo maana hata Lema aliposema kwamba Katiba mpya haitabadilisha kitu, nikajua basi hakuna kitu!
Kigumu zaidi ni kwamba kuna baadhi ya wapinzani au tuseme baadhi ya wana CHADEMA ambao wanazunguka mlango wa nyuma na kurudisha harakati nyuma siku hizi wanaitwa madalali
Inasikitisha sana lakini ngoja tuendelee, tutaona mwisho wake
Pole baby girl Lamomy 🧡
kila nikipita haupo karibu saivi tunapishana tu jamni mpka huzuni 😥Hio naked iruduwe
Uzuri wako unapitag naked bila kona kona🔥🔥🔥🔥🔥
ngoj spidernyoka aje atairudia☺️Hio picha irudiwe nipate ushahidi mimj
Kijana mbona pm unaamkiwa 😹😹madem wa kununua hapana aisee bora wewe apo unionee huruma tajiri yangu 🔥
Exactly 🔥🔥🔥Tutafika muhimu kwa sasa tumempata mpinzani wa kweli..!!
KumekuchaaaaaaaHaya weka kichuguu nifurahi, kitambo hujatupia kipenzi.. 🔥🔥
Niacheee bana sitakiNingekipata kichuguu kama chako ningekua naweka pic kila muda halafu sifuti..!! 😹
Mniwekee izo picha zilizonipita😹😹😹Sijui leo kameenda beach
😹😹😹inabidi niwe mlinzi humu vitu visinipitekila nikipita haupo karibu saivi tunapishana tu jamni mpka huzuni 😥
si ndio dada ako sina mambo mingi nakusubir na wew ujilipue tu😘😘
Ukifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!Kamkono tu!! Nisafishe nyota
Pita tupooze hasiraUkifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!
njoo niuzie sasa 😁Kijana mbona pm unaamkiwa 😹😹
Huruma sio malezi, nikikumbuka zile convo zako na wale waomba pesa pm nacheka sana..!!
naam tajiri huna baya kabisa.!! 🔥Ukifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!
Manyanza hii mindevu ipruni ki style imesambaa kama sisimizi wanalamba kopo la sukari..!! 😹😹😹Huna ubavu wa kuweka 🤣
View attachment 3706606
Hivo ndo safiiiManyanza hii mindevu ipruni ki style imesambaa kama sisimizi wanalamba kopo la sukari..!! 😹😹😹
Namna gani kamanda!
Piteni tenaTushapita
Chai 😅😅Ukifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!