Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mabishoo walikuwa wengi. Alafu hela wanazo. Wangekuiba .
Uchoyo tu kwahiyo hutaki nile ela zao😏
Mm sio boya kuwapelekea fisi nyama. 😂😂😂😂.
Khee! Kwani si umeshiba zako tayari au?
ila sio kesi. Next time ntatoka na bastola ndio nikuguse uje.
😒😒
ww ni mwendo wa Hanson Choice tu. Sio 😋😋😋😋.
Nzuri . Inapendeza
Hansons choice nalunywa nikiwa pekeangu na wewe tena🙄
 
1000358297.jpg

Fidodido hapa😇😀
 
Back
Top Bottom