Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 5,392
- 13,723
Amina ila inasikitisha....Mungu atusimamie
Amina ila inasikitisha....Mungu atusimamie
Achana nayo hiyo kampen😹😹😹 Huwezi bana ntilu, Malle ni binti mrembo na mstaarabu..!!
Utajiju😹😹😹 Nna simu ya mkopo haitaki kupiga pic mpaka nimalize deni..!!
wew ndo umepotea ila sie kila siku tunajimwaya na wakina jihan Mallerina na nduguyo wa migebuka spidernyoka 😄🤗win-one sijakuona miaka tisa sasa unasababisha taharuq🤦🏽♀️
Ndio nashangaa kuona uzi una zaidi ya kurasa elfu sijazisoma! Kazi ya kutembeza azam ice cream juani itakuja kuniua🥹 Lol haya naombeni marudio namimi niwaoneshe nilivyoongezeka urefu😎wew ndo umepotea ila sie kila siku tunajimwaya na wakina jihan Mallerina na nduguyo wa migebuka spidernyoka 😄🤗
hebu tuwasubiri waje maana wana lawama hatari, wataanza kusema tumefaidi pekeyetu 🤗🤗Ndio nashangaa kuona uzi una zaidi ya kurasa elfu sijazisoma! Kazi ya kutembeza azam ice cream itakuja kuniua🥹 Lol haya naombeni marudio namimi niwaoneshe nilivyoongezeka urefu😎
Kabisaa malle, spider na mahondaw wakifika kabla sijalewa nitag!😎hebu tuwasubiri waje maana wana lawama hatari, wataanza kusema tumefaidi pekeyetu 🤗🤗
imeisha hii😍😍Kabisaa malle, spider na mahondaw wakifika kabla sijalewa nitag!😎
Kabisaa malle, spider na mahondaw wakifika kabla sijalewa nitag!😎
Nasubiri loction yako tu hapa 😎Shem unalewea wap?.
Mm niko Home. Utulivu mwingi.Nasubiri loction yako tu hapa 😎
Ndiomaana nasikia makelele na maandalizi mpaka nmeshindwa kulala! kumbe jirani!Mm niko Home. Utulivu mwingi.
Nina harus leo . Ukumbi uko jiran na mitaa yako.
Nasikia uvivu balaa. Ila 50/50.
Nikiamua kwenda ntakupitia.
Jana nilivesha kwahiyo nina wenge + uvivu.
Bia muhimu.Ndiomaana nasikia makelele na maandalizi mpaka nmeshindwa kulala! kumbe jirani!
Hahhaa sawa nipitie ila bia ziwepo sio harusi za kilokole tunaangaliana tu masaa hayaendi!😎
Ulikesha baa😆
Mige mbona nilituma na saratoga hujapokea?Tajiri la mitumbwi unanicheka tu picha hunipi migebuka hujatuma dahh😓
Kwahyo uliona jau kunishtua sio😏Bia muhimu.
Bana eeeh. Nilikuwa nishakunywa Kili zangu ndogo kama 5 hivi. Kuna mwana kanipigia saa 2 usiku kunipa location ya kijiwe kipya. Liqour store moja ya kibabe. Kwenda kumbe yuko na ndugu yake na anaagiza bia kwa bucket. 😏😏😏. Yeye anakunywa JD ile chupa kubwa. Yuko na manzi yake pembeni.
Nikawekewa bucket 2 za kili ndogo.
Aaah saa 8 usiku nikaona sio kweli.
Ang nimeacha bia 2 pale.
😂😂😂😂.
So kweli sijapokea mpaka kesho🙆🏽♀️Mige mbona nilituma na saratoga hujapokea?
Kwahyo uliona jau kunishtua sio😏
Sema sijanywa bia muda mrefu mwili wangu umekaa mahala pake, nakata hard liquor sa hizi!🤪