TANZIA Rest in peace Eddo Bashir

Alimtoa porini Lucas Mwashambwa lakini hukuti hapa akikomenti. Eddo alikuwa ni mtu na nusu.

Leo hii watangazaji wengi sana wanaovuma wamepitia kwenye mikono yake kwanza kama mtangazaji wa kawaida na alipokuwa "program manager" pale Ebony Fm.
Kwa hakika Tiger Mnyama atabakia kuwa Mwamba Wa nyanda za juu Kusini . Mungu Ailaze mahali pema peponi roho yake . Alijua sanaa ya Utangazaji na kumfanya kila mtu atamani kuwa mtangazaji na kuisikiliza Ebon FM

Alifanya Wahehe wajivunie uwepo wake katika ardhi ya Iringa
 
Unaona watu wema wakitangulia wanavyokumbukwa vizuri, sasa imagine wewe chawa wa samuya ukivuta leo watz mamilioni watafurahia kifo chako!!.
 
Poleni wafiwa.
Marehemu aliugua ama ajali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…