Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 26,079
- 51,411
Ndiyo redio pekee kabla haijauzwa iliyoweza kuizuia Clouds Fm kuingia Nyanda za juu.oooh ahsante, ebony nishaisikia sana, aisee R.I.P Eddo
Ndiyo redio pekee kabla haijauzwa iliyoweza kuizuia Clouds Fm kuingia Nyanda za juu.oooh ahsante, ebony nishaisikia sana, aisee R.I.P Eddo
sawa sawaNdiyo redio pekee kabla haijauzwa iliyoweza kuizuia Clouds Fm kuingia Nyanda za juu.
Kwa hakika Tiger Mnyama atabakia kuwa Mwamba Wa nyanda za juu Kusini . Mungu Ailaze mahali pema peponi roho yake . Alijua sanaa ya Utangazaji na kumfanya kila mtu atamani kuwa mtangazaji na kuisikiliza Ebon FMAlimtoa porini Lucas Mwashambwa lakini hukuti hapa akikomenti. Eddo alikuwa ni mtu na nusu.
Leo hii watangazaji wengi sana wanaovuma wamepitia kwenye mikono yake kwanza kama mtangazaji wa kawaida na alipokuwa "program manager" pale Ebony Fm.
MENEMENE TEKERI NA PERESI Eddo alikuwa mtu poa Sana.
Wakati nipo kule Iringa,Eddo alikuwa ananishangaza sana kuhusu kuwahi kwake mapema misa ya kwanza pale RC Mshindo.Muamini wa kweli!MENEMENE TEKERI NA PERESI Eddo alikuwa mtu poa Sana.
Unaona watu wema wakitangulia wanavyokumbukwa vizuri, sasa imagine wewe chawa wa samuya ukivuta leo watz mamilioni watafurahia kifo chako!!.Kwa hakika Tiger Mnyama atabakia kuwa Mwamba Wa nyanda za juu Kusini . Mungu Ailaze mahali pema peponi roho yake . Alijua sanaa ya Utangazaji na kumfanya kila mtu atamani kuwa mtangazaji na kuisikiliza Ebon FM
Alifanya Wahehe wajivunie uwepo wake katika ardhi ya Iringa
Kabisa... Eddo hawajawahi kukosa ibada hata siku moja alipokuwa ana Afya yake.Wakati nipo kule Iringa,Eddo alikuwa ananishangaza sana kuhusu kuwahi kwake mapema misa ya kwanza pale RC Mshindo.Muamini wa kweli!