sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,709
- 9,965
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha presenter Eddo Bashir.
Ni mshikaji niliekutana nae iringa tukafanya roadshows. Alikuwa na influence sana pande zile.
Kwa muda mfupi niliokaa nae naweza kusema ni mmoja ya binadamu wachache sana wenye roho nzuri kuwai kuwashuhudia
Mungu amlaze mahala pema