sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,709
- 9,967
Rest in Paradise.presenter Eddo Bashir
Kuna radio maarufu sana inaitwa Ebony FM kama sijakosea jina iko iringa mjinini mtangazaji wa redio gani?
oooh ahsante, ebony nishaisikia sana, aisee R.I.P EddoKuna radio maarufu sana inaitwa Ebony FM kama sijakosea jina iko iringa mjini
Alimtoa porini Lucas Mwashambwa lakini hukuti hapa akikomenti. Eddo alikuwa ni mtu na nusu.RIP Tiger mnyama.Eddo Bashir Sanga.Baba wawili.Yuuuuwiii daaadeee... Ahele yuuulaaa muvina!?