GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,768
- 128,282
- Thread starter
- #21
Mrejesho ni muhimu kiongozi usitulie tu tuambie ilikuaje?
Nimeshajibu Hapo Juu Angalia Mkuu.
Mrejesho ni muhimu kiongozi usitulie tu tuambie ilikuaje?
mkuu jiamini kuwa na amani, mungu anaweza kufungua njia hata mahali ambapo hukuweza kufikiria kabisa. Kama mungu aliipigia tiki hiyo chance kuwa ni yako basi ni yako tu mkuu hata iweje, binaadamu wanaweza ichelewesha tu, lakini kama ipo ipo tu, muda ni shahidi mzuri sana; nikupe mfano wangu, niliwahi apply job moja siku 5 zimepita tangu deadline, cha ajabu bado nikaitwa interview, napigiwa simu ya kujulishwa juu ya wito wa usaili kama leo sa 5 hivi asubuhi naambiwa interview kesho sa 2 asubuhi hapo niko iringa , interview ni moshi... Unaweza imagine hapo, nikaparamia fuso la viazi, la kwenda huko, kesho yake nafika katika interview panel haikuamini, maana taarifa za baadae zilionyesha kuwa hiyo chance ilishaandaliwa mtu, nikapambana kweli kweli interview, uzuri na wafadhili wa huo mradi walikuwepo. Nikaambiwa majibu ni after 1 week, wafadhili wa mrdi walipendezwa nami sana wakaacha maagizo mimi nipewe hiyo chance, cha ajabu wameondoka tu huku nyuma wabongo wakachakachua jina, wakatuma jina lingine kwa wafadhili, wafadhili wakamaindi mbaya sana wakatishia kuwithdraw fund, cha ajabu mimi nikaja kuitwa kazini after 3 moths from the day i made my interview, na kibaya zaidi secretary aliyepeleka lile tangazo la kazi kutangawa katika magazeti alifukuzwa kazi baada ya mimi kuajiliwa, nikaanza job mazingira yalikuwa magumu sana ,maana sina ushirikiano toka kwa staff wengine na bord, lakini bwana mungu akiwa upande wako hakuna kitakachoshindikana. Wafadhili niliwaeleza situation nzima wakasema isiwe kesi wakaja wenyewe kuipa makavu board na wakasema mimi niwe authoriser wa account ya mradi, na mimi ndiye fainal say wa either pesa itoke au laah. Mkuu check hiyo scenario then pata picha ugumu wake... Nilifanya vizuri sana huo mradi, na mpaka leo niko na mradi mwingine phase 2 mkuu.. Acha mungu aitwe mungu . Kikubwa uwe na imani na ujiamini kuwa utapata basi. Kila lakheri mkuu.ebwana mrejesho ni kwamba nilipoingia tu mmoja wa wafanya usahili ambaye ndiye muhusika mkuu alinikumbuka kuwa nilishawahi kufanya nao interview hivyo niliambiwa tu nijielezee kidogo, nafanya nini sasa, nitasaidiaje hiyo taasisi yao na mshahara wangu nataka kiasi gani nami nikatiririka ila jana waliniambia nijiandae kufanya leo class demo mbele ya staff au wanafunzi na nilijiandaa kweli kwa hilo ila bahati mbaya baadae msahili mwingine alinifuata na kuniambia kuwa kwakuwa mwaka juzi nilipofanya nao interview nilifanya hiyo class demo hivyo inatosha tu kwani matokeo yake wanayo ktk records zao hivyo nisubiri na watanitaarifu kama safari hii nimepata au mambo ni yale yale ya kuchinjiana baharini. Zidisha maombi yako mkuu nifanikiwe. Akhsante kwa concern yako and you're a truly comrade!
mkuu jiamini kuwa na amani, mungu anaweza kufungua njia hata mahali ambapo hukuweza kufikiria kabisa. Kama mungu aliipigia tiki hiyo chance kuwa ni yako basi ni yako tu mkuu hata iweje, binaadamu wanaweza ichelewesha tu, lakini kama ipo ipo tu, muda ni shahidi mzuri sana; nikupe mfano wangu, niliwahi apply job moja siku 5 zimepita tangu deadline, cha ajabu bado nikaitwa interview, napigiwa simu ya kujulishwa juu ya wito wa usaili kama leo sa 5 hivi asubuhi naambiwa interview kesho sa 2 asubuhi hapo niko iringa , interview ni moshi... Unaweza imagine hapo, nikaparamia fuso la viazi, la kwenda huko, kesho yake nafika katika interview panel haikuamini, maana taarifa za baadae zilionyesha kuwa hiyo chance ilishaandaliwa mtu, nikapambana kweli kweli interview, uzuri na wafadhili wa huo mradi walikuwepo. Nikaambiwa majibu ni after 1 week, wafadhili wa mrdi walipendezwa nami sana wakaacha maagizo mimi nipewe hiyo chance, cha ajabu wameondoka tu huku nyuma wabongo wakachakachua jina, wakatuma jina lingine kwa wafadhili, wafadhili wakamaindi mbaya sana wakatishia kuwithdraw fund, cha ajabu mimi nikaja kuitwa kazini after 3 moths from the day i made my interview, na kibaya zaidi secretary aliyepeleka lile tangazo la kazi kutangawa katika magazeti alifukuzwa kazi baada ya mimi kuajiliwa, nikaanza job mazingira yalikuwa magumu sana ,maana sina ushirikiano toka kwa staff wengine na bord, lakini bwana mungu akiwa upande wako hakuna kitakachoshindikana. Wafadhili niliwaeleza situation nzima wakasema isiwe kesi wakaja wenyewe kuipa makavu board na wakasema mimi niwe authoriser wa account ya mradi, na mimi ndiye fainal say wa either pesa itoke au laah. Mkuu check hiyo scenario then pata picha ugumu wake... Nilifanya vizuri sana huo mradi, na mpaka leo niko na mradi mwingine phase 2 mkuu.. Acha mungu aitwe mungu . Kikubwa uwe na imani na ujiamini kuwa utapata basi. Kila lakheri mkuu.