NINI HATIMA YA HAYA YOTE

NINI HATIMA YA HAYA YOTE

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
350
Reaction score
509
Kwamba kuna watu wanatekwa kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kimapenzi,kisiasa, kudaiana na nakadhalika;ni nini mwisho wa matukio hayo,nani ata yakomesha mambo haya,Watekaji hawajui kwamba kuna mwisho wa mambo hayo,hawaogopi?
Kwamba kuna watu wanahukumiwa kunyongwa kwa sababu wamekosoa au wametofautiana mawazo na pengine wapo kizuizini;kiwe cha ndani au cha nje;wanaofanya hivyo hawajui kuna mwisho? hawaogopi mambo ya visasi?
Kwamba kuna kuna mfumo au kundi la watu fulani;wanavunja sheria na kukiuka taratibu zilizowekwa kwa sababu wapo juu ya sheria;mwisho ukifika watafanyaje? hawaogopi kwamba wanaweza kuchelewa kufa na hivyo wanaweza kusumbuliwa baadae,hawaogopi tu?
Hata hivyo; nchi ya wadanganyika sio kama ilivyo nchi ya Mu 7 au ya Car game,wale waliupata uongozi kwa kumwaga damu,kwa nini utawala wa wadanganyika ufanane tabia na matendo ya viongozi wa nchi ile?
Mwisho wa mambo hayo yote ni nini na lini?
 
hizo ni porojo na drama useless gentleman,
hakuna haja wala sababu ya maana hapo, eti watu kuacha kuchapa kazi za maendeleo na kujenga taifa lao, na wakalie au kung'ang'ana kupiga porojo useless kama hizo. Wananchi inafaa wachape kazi kwa kuzingatia maslahi mapana ya familia na taifa lao badala ya kuendekeza porojo za kupoteza wakati kama hizo :NoGodNo:
 
Mwisho wa haya matukio ya hovyo ni pale tutakapo fanikiwa kupata katiba mpya na huo ndiyo itakuwa Mwanza wa kuondoa CCM madarakani.

Hivyo kuanzia hapo hutasikia tena mambo ya kutekana
 
hizo ni porojo na drama useless gentleman,
hakuna haja wala sababu ya maana hapo, eti watu kuacha kuchapa kazi za maendeleo na kujenga taifa lao, na wakalie au kung'ang'ana kupiga porojo useless kama hizo. Wananchi inafaa wachape kazi kwa kuzingatia maslahi mapana ya familia na taifa lao badala ya kuendekeza porojo za kupoteza wakati kama hizo :NoGodNo:
Ndugu zake Polepole na Mdude wakikusikia unaongea huu ujinga kamwe hawata kuelekea kabisa
 
Back
Top Bottom