Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,387
- 5,976
1. Mi nakumbuka kipindi shule imelima mahindi, baada ya kuiva, tukawa tunaingia katikati, tunaiba tunaenda kuchoma. Siku moja mida kama ya saa tano usiku, walinzi wakawakamata jama wa4. Majadiliano na uongozi, yalifikiwa kwamba, wakishavuna yote, watalima shamba lote wenyewe.
Vijana hawakuwa na la ziada, waliweka vibarua mchana kuwasogeza, usiku wakawa wanalima wenyewe, kuepuka aibu ya wanafunzi wenzetu.
2. Mshikaji mmoja nae, siku moja akakamatwa mnadani akiuza ng'ombe wa shule.
3. Mshikaji mwingine nae, alikuwa anasoma seminari. Siku moja akatoloka. Ile anaruka fensi, nje alikutana na msululu wa wanajeshi(Nchini Rwanda). Alistukia tu huyo kaanguka katikati ya msululu, alichoambiwa ni kwamba wanaendelea wote. Jama alitembezwa usiku kucha, kesho yake karudishwa na gari lao na kukabidhiwa uongozi. Hakufanywa chochote maana kama adhabu, aliipata ya kutosha